Bernard bakari
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 407
- 781
Sakata la majeruhi limedhidi kuikumba club ya man united na kufanya mchezo wa leo dhidi ya Chelsea wacheze bila ya kuwepo na mshambuliaji yeyote tegemezi baada ya zlatan kuanza kutumikia adhabu ya kutokucheza mechi tatu, martial na Rashford wanaumwa, wayne Rooney kaumia mazoezini hivyo jose mourinho anategemea kumchezesha fellain kama mshambuliaji. Ikumbukwe Felaini alipatwa kuzomewa na mashabiki wa manchester united kwa kusababisha penati dhidi ya timu yake ya zamani Everton lakini mourinho alitokea kumwamini licha ya kuzomewa na leo hii washabiki wote wa man united macho yao yote leo yapo kwa fellaini kama ndo mwokozi atakaye wanusuru na kichapo na kutupwa nje na chelsea kwenye kinyang'anyiro cha kombe la FA.