Maskini huyu Mkaka,Pole yake lakini

Maskini huyu Mkaka,Pole yake lakini

duh, kwa hiyo kule kwa mitisa na wewe lazima utakuwa mdau...je na wewe ukiangaliwa una tatizo au poa tu?
huko kwa mitisa sio chabo naongelea live chabo kama hapo kwenye picha, hata mi nkiwahiwa nkapgwa chabo poa tu...
 
Huu ugonjwa kitaalamu tunaita CHABONIAMOPHOLOGICAL DISODER MITOCHODRIA...huwa kumba watu wa rika zote lakini mara nyingi sana huwashambulia vijana wa kiume.....dalili zake kupenda kutembea usiku hasa pembezoni mwa madirisha ya watu...au kupenda kukaa karibu na milango vyooni hasa upande wa bafuni...vile vile mgonjwa hupendelea kutembea na vipande vya sabuni mifukoni...na wakati huwa mnyonge na kukasirika bila sababu za msingi.....madhara yake ni makubwa ambapo hupelekea mgonjwa kuzimia eneo la tukio....na wakati mwingine kifo..
Tiba yake ni kama ifuatavyo.....baada ya vipimo na ikithibitika kweli mtu ana ugonjwa huo basi haraka sana apatiwe vidonge vya PAPUCHIKWIN kutwa mara tatu na baada ya mwezi mmoja atakuwa ameshapona kabisa.....

Aiseee mi huwa najiuliza raha ya chabo ni nini maana mi sidhani kama itanisisimua na hata ukisisimka sasa faida gani,kumbe wapiga chabo wanakuwa wanatembea na sabuni!sikujua hilo
 
Kuna guest moja ilikuwa na bar hapohapo so ukienda na demu mhudumu alikuwa na tabia ya kuwastua walevi wenyeji wao wanakwenda dirishani na midenge pamoja na spoke za baiskel dirisha lilikuwa na matobo ya kutosha kwenye nyavu. Sasa jamaa akaingia na demu wote madirishani jamaa kaanza yake huku kawategea mgogo Mara kijasho chembamba kikamtoka kuanzia kichwani kupitia kwenye uti wa mgongo hichoo jamaa mmoja kumbe anakifuatilia kijasho hicho mwisho kikaishia m+a+t+a+k+o+n+i na kupotelea huko jamaa aliburst kwa kicheko kilichopelekea jamaa kutapika nyama na pombe yoote na kuanzia siku hiyo wakapigwa bun ya kupiga chabo kwani walimsababishia mteja usumbufu. Chabo ni noumaaa.
 
Huu ugonjwa kitaalamu tunaita CHABONIAMOPHOLOGICAL DISODER MITOCHODRIA...huwa kumba watu wa rika zote lakini mara nyingi sana huwashambulia vijana wa kiume.....dalili zake kupenda kutembea usiku hasa pembezoni mwa madirisha ya watu...au kupenda kukaa karibu na milango vyooni hasa upande wa bafuni...vile vile mgonjwa hupendelea kutembea na vipande vya sabuni mifukoni...na wakati huwa mnyonge na kukasirika bila sababu za msingi.....madhara yake ni makubwa ambapo hupelekea mgonjwa kuzimia eneo la tukio....na wakati mwingine kifo..
Tiba yake ni kama ifuatavyo.....baada ya vipimo na ikithibitika kweli mtu ana ugonjwa huo basi haraka sana apatiwe vidonge vya PAPUCHIKWIN kutwa mara tatu na baada ya mwezi mmoja atakuwa ameshapona kabisa.....

Looh tiba yake sasa ahahaha!
 
Back
Top Bottom