Maskini hawa madada

Maskini hawa madada

Tatizi bongo zinauzwa bei rahisi...

attachment.php
 
Kwa wanawake haipendezi hata kidogo

Hiyo kwa mtu yoyote haipendezi, ukishaingia humo kutoka huwezi, nikienda uswahilini kwetu nilipokulia natamani kumwaga machozi, wale vijana niliocheza nao utoto, aidha wamekufa au wanaugua ukurutu. Wachache sana wamesalimika.
 
Ili kuendana na hali halisi ya maisha ya kibongo

Hapa nilipo gram moja inauzwa €50 mpaka €60, kwa hesabu za haraka haraka kwa shilingi za kibongo ni laki moja na ushee, kwahiyo hapa ukiwa mteja kweli we umeamua. Lakini bei ya kibongo bongo hata ukipiga debe unaweza kujidunga, ndio maana vijana wa uswahilini wanakufa.
 
Cheki mateja wetu wengi hata hela ya chakula shida
 
Unga ni kitu kibaya sana, ukishakuwa mteja ukipata hela kwanza heroin hayo mambo ya wali maharaga baadae. Nashukuru sana nimekimbia kwenye maisha hayo since the beggining.
 
hofu kwa watoto na wadogo zetu
 
Hivi wanawake wanaotumia unga(Madawa) kitandani wapo fiti kweli??
 
Back
Top Bottom