Maskini Cloud Fm! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maskini Cloud Fm!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MALUNGU, Jun 6, 2011.

 1. MALUNGU

  MALUNGU JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cloud Fm ilikuwa inapendwa sana hasa na vijana! Kipindi cha Jahazi Asilia hakina mvuto tena! Tatizo ni nani hapo?
   
 2. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  huu sasa umbea, unataka uambiwe nani ndio tatizo? kama haikuvutii hama chanel hulazimishwi kusikiliza
   
 3. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  apo unataka kulenga ...KWA SABABU GADNA AYUPO....mhh mbona skuiz wanajitaid bwana...
  wamekuja wale makaka wawili wasiwasi sjui na nani yule wapo poa

  wale wadori wawili sjui ni s=wasagaji manake ata awaeleweki wametolewa...manake nilkua sion wanafanya nin pale zaidi ya kuongea upupu wakat kuna mada nzito za kutangaza wao kucheka na utoto mwinng studion...

  nw bora kdg...

  kp gud u guys . ma sdear kibonge nw days anajirekebsha...kp t up km kitu uki9jui kipotezee au google kdg upate tip kuliko kujifanya wajua kila kitu ukisikia TEMBELE WE waanza kuliongelea et tembele lina miguu 6 linakula mafuta kidg ...linadumu ahh wap wakat tembele ni kitu kngne kabsa....bt nw umepunguza kdg ...gudboy kp t up  wsh u lak clouds cz ur real creative n entetang radio..mi sichok kusikiliza ila naishia sa 10..

  naanzaga na hando ila mdada yule mswangilish ananikwaza nampenda pj,then mabishostito wananikosha dina,gea na dahuu AHH PALE NDO KABSAA nkikosa heka heka mi nakonda jaman....bi poza pale kat na wanaume wamenambia....:majani7:mi raha tu


  ikja mchana sasa baba johniiii ayayayay hainaga majoto mi kimetameta tu NA stv b n dada samak....
  ikja jahaz ahh kdg napunguza SAUT IKIFIKA SA1 AHH NDO KABSA .......


  MNAJITAIDI KWA KWELI ILA PUNGUZEN USISIEM

  MUNGU AWABARIKI
   
 4. Bollo Yang

  Bollo Yang JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 440
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ni kweli mvuto umepungua tangu Gadner alivoondoka
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  jaman dj bula dah wa ukweli..hongera baba

  2b honest yaan nikikaa dk 5 afu ikapigwa mizik mfululizo mfano wknd ivi naweza nkakwambia sasa ivi bula kaikamatia mashine..

  bula anajua kupangilia..ata km nikitaka kutoka home na nkajua bula anaride dude basi ni lazima nibebe ear 4n zangu cz najua ntafura na ntasahaulishwa maden yangu yote....

  anajua kumix
  anajua kupangilia nyimbo
  akiwepo studio autathubutu kubadili station

  clouds mnajitaidi ..MAPUNGUFU YAPO KWA WACHACHE NA KDG SO TUWAPE GWALA ZAO JAMAN....
   
 6. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  weweeee....leo nimekupata.......ni kwa nini?
   
 8. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  ....hii naona imekaa ki-beijing zaidi!! samahani napita njia tu! :mwaaah:
   
 9. MALUNGU

  MALUNGU JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaribio la hisabati.
  jibu swali moja tu.
  1.9+9
  2.8+7
  MAJIBU
  1.18
  2.15
  MARKING
  0%
  Tatizo kipindi cha Jahazi!
   
 10. MALUNGU

  MALUNGU JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 11. MALUNGU

  MALUNGU JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [QUOTE=chipanga;....hii naona imekaa ki-beijing zaidi!! samahani napita njia tu! :mwaaah:

  Una utani na wadai haki?
   
 12. papaa masikini

  papaa masikini Senior Member

  #12
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Pasipo kumung'unya maneno,hii radio imeshuka umaarufu,na kutopendwa na vijana,pale ilipoanza kujiingiza kwenye ushabiki wa kisiasa,na mbaya zaidi ikitumiwa na kile chama cha magamba!!
  Na amini usiamini itapotea kabisa...yetu macho!!
   
 13. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #13
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Tatizo muda huo wengi tunakua kwenye gari, radio nyingi zina shika radio station chache, sbo kwa mimi inakua sijui nisikilize nini zaidi ya Jahazi .
  Kiukweli napenda sana kuzikiliza kipindi hicho , sio kwasababu ya ubora wake, napenda kusikiliza leo Kibonde atanibore kwa lipi, yaani ukimsikiliza unapandwa na hasira huku ina ku entertain .Leo nilisubiri Kibonde aseme nini kuhusu Mbowe kibaya kakimbia ana hofu kutoa comments zake .Vipi wale mademu kina Asma na Mwalekwa mbona siwasikii?
   
 14. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #14
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Sahiv mmenifanya niamin kwamba cloudz mti wenye matunda na hasa kipindi cha jahazi coz kila nikiingia humu thread ya clouds lazima iwepo,unauhakika kwmb jahaz inackilizwa na vjana tu?mama,baba,mjomba,shangaz zako hawackiliz?Kwanin thread za medias nyingine e.g Radio1,rfa,magic,kissfm,uhuru,e.a hazionekan inamaana hawana mapungufu au hamckilizag?Tafakar utagundua kwmb clauds ni talk of the town
   
 15. J Rated

  J Rated JF-Expert Member

  #15
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mi niliacha kusikiliza jahazi walipokuwa wale wadada,but siku hz ni moto wa kuotea mbali,arnold kayanda anakimbiza mbaya,dogo yupo talented,sikosagi pia kipindi chake cha top 20,leo tena wapo juu bila kusahau vijana wa xxl,ila pwr breakfast siwezi kusikiliza hata siku moja,majamaa wanaboa mbaya..
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Jun 7, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Jahazi hivi sasa imetulia kiasi, akiondolewa Kibonde itatulia zaidi.
   
 17. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #17
  Jun 7, 2011
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  napenda sana kipindi cha jahazi siku hizi hasa baada ya anorld, wasiwasi kuongezwa pale.... they are smart boys
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Jun 7, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ah,kwakweli sijasikiliza nina miez takriban 6 sasa,
   
 19. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #19
  Jun 7, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,552
  Likes Received: 10,940
  Trophy Points: 280
  Huwa unasikiliza radio gani/vipindi gani kwa mida gani?
  Mi naona wengine ndio wananiboa kabissaaa!
   
 20. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #20
  Jun 7, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Vijana Gani unaowasema wewe??, Mbona mimi siijui hiyo kitu! usiusemee moyo wa mtu mwingine, unataka tutembelee viatu vyako, doh!
   
Loading...