Maskini CHADEMA, Hiyo Ndiyo Siasa

kipindi Mandela akipigania uhuru v8 zilikuwepo? Dunia imebadilika mkuu usijaribu kucompare time frame za nyakati zile na hizi. Mfano unataka kwavile Mandela alikuwa anafuga Afro kipindi kile na slaa afuge?

Mkuu Precise pangolin
Acha kupindua maneno kwa kuogopa ukweli umeelewa namaanisha kitu gani; anasa zilianza zama za kale hata kumiliki punda wakati Yesu ilikuwa ni anasa!

Chama
Gongo la mboto DSM
safarini Monga Vyeru
 
Last edited by a moderator:

Mkuu wangu chama karibu tena jamvini manake naona ulifungwa gavana kwa muda
 
Last edited by a moderator:

Blood pressure haiko mbali mkuu usicheze mbali na hospitali
 
Makamanda naona wanaelekea pabaya. Kule UK wamemfukuza Lukosi kisa kufanya biashara na Serikali. Kule Mwanza Bavicha wanamtaka Dr Slaa aachie ngazi kama atagoma wataiitisha maandamano nchi nzima.
 
Chadema inazidi kuchana mbizi, chadema chama kubwa.
 
Waliomlaumu Mulugo hawakumtendea haki, wangeangalia ni wa chama gani, kweli ukiwa ccm lazima uwe na akili ya maiti, eti CHADEMA hakitafika 2105, ni kweli ila 2015 kitaingia madarakani kwa kuing'oa ccm, hakina haja sana ya kufika hadi huko 2105 mburula wewe,
 
Makamanda naona wanaelekea pabaya. Kule UK wamemfukuza Lukos kisa kufanya biashara na Serikal. Kule Mwanza Bivicha wanamtaka Dr Slaa aachie ngaz kama atagoma wataiitisha maandamano nch nzima.

nilijua hapa lazma uibuke..
 
Makamanda naona wanaelekea pabaya. Kule UK wamemfukuza Lukosi kisa kufanya biashara na Serikali. Kule Mwanza Bivicha wanamtaka Dr Slaa aachie ngazi kama atagoma wataiitisha maandamano nchi nzima.

Bivicha ndo nani tena, mbona hueleweki!??
 
Reactions: Pai
Mkuu Precise pangolin
Acha kupindua maneno kwa kuogopa ukweli umeelewa namaanisha kitu gani; anasa zilianza zama za kale hata kumiliki punda wakati Yesu ilikuwa ni anasa!

Chama
Gongo la mboto DSM
safarini Monga Vyeru
Tuko pamoja mkuu chama anasa zilikuwepo hata kipindi cha Mudi. Jamaa alikuwa anapenda totoz balaa!
 
Last edited by a moderator:
Kisichoeleweka kwenye up.u.pu uliouweka ni kipi? You guys are hopelessly deluded if you think an average Tanzanian of today will believe your version of story for them to decide! But keep on dreaming that the status quo will prevail!

I am among those average Tanzanians; I still have the faith with CCM; I never doubt the mechanism of our party the goal is make sure all Tanzanians benefit from our resources; under the leadership of chairman Kikwete I see the bright future ahead for all Tanzanins; aluta continua!!!!

Chama
Gongo la mboto DSM
mapumzikoni Monga Vyeru
 
Tuko pamoja mkuu chama anasa zilikuwepo hata kipindi cha Mudi. Jamaa alikuwa anapenda totoz balaa!

Kama kawaida yenu mpo kuspinn ukweli maneno yamekuingia; sihitaji kujiingiza kwenye malumbano ya kidini ila nimefurahi ujembe umeupata.

Chama
Gongo la mboto DSM
mapumzikoni Monga Vyeru
 
Makamanda naona wanaelekea pabaya. Kule UK wamemfukuza Lukosi kisa kufanya biashara na Serikali. Kule Mwanza Bivicha wanamtaka Dr Slaa aachie ngazi kama atagoma wataiitisha maandamano nchi nzima.

Oneni matokeo ya utapia mlo wa ubongo wa huyu kiumbe!
 
Kama kawaida yenu mpo kuspinn ukweli maneno yamekuingia; sihitaji kujiingiza kwenye malumbano ya kidini ila nimefurahi ujembe umeupata.

Chama
Gongo la mboto DSM
mapumzikoni Monga Vyeru

Ujembe ndio nini mkuu?
 
Mkuu wangu chama karibu tena jamvini manake naona ulifungwa gavana kwa muda

Ahsante sana nimerudi gavana hazinifanyia kuacha kuongea ninachoamini hata kama hamkifurahishi mod ila hii ya mwisho niliitegemea haikuwa ya maonevu kama zilizopita; nilitoka uwanjani kabla refa hajatoa red

Chama
Gongo la mboto DSM
mapumzikoni Monga Vyeru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…