Dalili zinaonyesha chama kilichoonyesha upinzani mkubwa katika uhaguzi 2010 kimefikia haali mbay ksiasa kiasi ambacho uongozi wa chama umebaki wa wachache wateule. Hii imethibitisha maneno yangu huko nyuma kuwa CDM ni tunda la msimu ambalo halitatua mahitaji ya muda mrefu.
Chadema kinazidi kuzugukwa na migogoro siku hadi siku, maeneo yote ya Tanzania wanakiponda hiki chama kwa vile kinaendeshwa kwa misingi ya ukana, ukabila na undugu.
Nakitabiria hiki chama hakifika mwaka 2105

dalili zinaonyesha chama kilichoonyesha upinzani mkubwa katika uhaguzi 2010 kimefikia haali mbay ksiasa kiasi ambacho uongozi wa chama umebaki wa wachache wateule. Hii imethibitisha maneno yangu huko nyuma kuwa cdm ni tunda la msimu ambalo halitatua mahitaji ya muda mrefu.
Chadema kinazidi kuzugukwa na migogoro siku hadi siku, maeneo yote ya tanzania wanakiponda hiki chama kwa vile kinaendeshwa kwa misingi ya ukana, ukabila na undugu.
Nakitabiria hiki chama hakifika mwaka 2105
... mwaka 2105
Wakitaka kufika 2015 wamwone Wassira aliyewatabiria kifo mwaka ujao!
Kuanguka kwa Chadema ni hitimisho tu; hao wanaojiita viongozi wapo kutetea maslahi yao kimaisha; chama hakipo kutetea watanzania kama wanavyojinadi; Mandela kuna wakati alipewa deal na serikali ya makaburu ya kuachiwa huru na kupewa maisha mazuri ili mradi tu asijihusishe na harakati za ukombozi; hao wapigania ukombozi wenu akina Slaa leo wanapigania maisha yao utapigania ukombozi ukiwa ndani ya V8 na kiyoyozi ndani? kama si kutaka kudanganya watu ni kitu gani?
Chama
Gongo la mboto DSM
safarini Monga Vyeru
Kwa maana hiyo unataka kusema ccm ndio wanaostahili kuaminiwa kwa kuwa hawatumii V8 zenye viyoyozi? Kweli kujikomba kunapofusha watu! Ni serikali ya chama gani inayoyanunua hayo magari? Ni chama gani kipo madarakani? Ukombozi gani uliopatikana kwa mwananchi wa kawaida miaka yote hii ya kujitawala?
Am sorry sir, but you have shown here that you are a nincompoop!
Dalili zinaonyesha chama kilichoonyesha upinzani mkubwa katika uhaguzi 2010 kimefikia haali mbay ksiasa kiasi ambacho uongozi wa chama umebaki wa wachache wateule. Hii imethibitisha maneno yangu huko nyuma kuwa CDM ni tunda la msimu ambalo halitatua mahitaji ya muda mrefu.
Chadema kinazidi kuzugukwa na migogoro siku hadi siku, maeneo yote ya Tanzania wanakiponda hiki chama kwa vile kinaendeshwa kwa misingi ya ukana, ukabila na undugu.
Nakitabiria hiki chama hakifika mwaka 2105
kipindi Mandela akipigania uhuru v8 zilikuwepo? Dunia imebadilika mkuu usijaribu kucompare time frame za nyakati zile na hizi. Mfano unataka kwavile Mandela alikuwa anafuga Afro kipindi kile na slaa afuge?Kuanguka kwa Chadema ni hitimisho tu; hao wanaojiita viongozi wapo kutetea maslahi yao kimaisha; chama hakipo kutetea watanzania kama wanavyojinadi; Mandela kuna wakati alipewa deal na serikali ya makaburu ya kuachiwa huru na kupewa maisha mazuri ili mradi tu asijihusishe na harakati za ukombozi; hao wapigania ukombozi wenu akina Slaa leo wanapigania maisha yao utapigania ukombozi ukiwa ndani ya V8 na kiyoyozi ndani? kama si kutaka kudanganya watu ni kitu gani?
Chama
Gongo la mboto DSM
safarini Monga Vyeru
Tuondolee hizi Abracadabra zako hapaDalili zinaonyesha chama kilichoonyesha upinzani mkubwa katika uhaguzi 2010 kimefikia haali mbay ksiasa kiasi ambacho uongozi wa chama umebaki wa wachache wateule. Hii imethibitisha maneno yangu huko nyuma kuwa CDM ni tunda la msimu ambalo halitatua mahitaji ya muda mrefu.
Chadema kinazidi kuzugukwa na migogoro siku hadi siku, maeneo yote ya Tanzania wanakiponda hiki chama kwa vile kinaendeshwa kwa misingi ya ukana, ukabila na undugu.
Nakitabiria hiki chama hakifika mwaka 2105
Jaribu kuelewa kilichoandikwa kabla ya kutoa povu
Chama
Gongo la mboto DSM
safarini Monga Vyeru
mkuu vp magamba wanatumia farasi au mikokoteni? Naomba nijuze mkuu!Kuanguka kwa Chadema ni hitimisho tu; hao wanaojiita viongozi wapo kutetea maslahi yao kimaisha; chama hakipo kutetea watanzania kama wanavyojinadi; Mandela kuna wakati alipewa deal na serikali ya makaburu ya kuachiwa huru na kupewa maisha mazuri ili mradi tu asijihusishe na harakati za ukombozi; hao wapigania ukombozi wenu akina Slaa leo wanapigania maisha yao utapigania ukombozi ukiwa ndani ya V8 na kiyoyozi ndani? kama si kutaka kudanganya watu ni kitu gani?
Chama
Gongo la mboto DSM
safarini Monga Vyeru
Mafilili! huu mwaka ulioutaja wewe mwenyewe utakuwepo?