Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 846
Zantel
wasiliana na freemason customer care
Zantel
itabidi nifanze hivo coz imeniuma sana
wasiliana na freemason customer care
Buku mbili kumbe kubwa hadi linaanzishiwa thread!!!Hivi hawa Airtel mbona wezi sana? Leo nimeweka vocha ya Tsh 2000 nikajua nitaongea dk 5 au zaidi na m2 ambaye yupo Marikani coz kiwango ni tshs 5.16 per Sec,lakin nilipopiga 2 ilikatika yote baada ya dk 1:35.. Naomba mniambie ni2mie mtandao gani ambao una gharama nafuu kupiga cm za nje.
Buku mbili kumbe kubwa hadi linaanzishiwa thread!!!
Buku mbili kumbe kubwa hadi linaanzishiwa thread!!!
Buku mbili kumbe kubwa hadi linaanzishiwa thread!!!
Hili ndio tatizo la wa Tanzania wengi, yaani kila siku tunaibiwa na kudhulumiwa haki zetu lakini tunaona poa tuu!Unaibisha jamvi kulalamikia buku 2. Sadaka umetoa lini wewe?.
Buku mbili kumbe kubwa hadi linaanzishiwa thread!!!
kwa mafisadi ni "vijisenti" lakini kwa sisi 2naoishi chini ya dola moja kwa cku ni kubwa kupita maelezo... Unapotaja buku mbili ujue unaongelea bajet ya cku 5 ya babu yako kule kijijini.
Unaibisha jamvi kulalamikia buku 2. Sadaka umetoa lini wewe?.
Fikiria kwanza kabla ya kubwabwaja, huyu ni mmoja kalalamika kuna maelfu wanaibiwa/wanatapeliwa kwa njia hii. Nilipokua VIDUDU mwl. alisema "haba na haba .........."Buku mbili kumbe kubwa hadi linaanzishiwa thread!!!Hivi hawa Airtel mbona wezi sana? Leo nimeweka vocha ya Tsh 2000 nikajua nitaongea dk 5 au zaidi na m2 ambaye yupo Marikani coz kiwango ni tshs 5.16 per Sec,lakin nilipopiga 2 ilikatika yote baada ya dk 1:35.. Naomba mniambie ni2mie mtandao gani ambao una gharama nafuu kupiga cm za nje.
buku mbili imetumika kupamba heading tu!
kweli wewe ni mbunifu!