Maskini bajaji na boda boda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maskini bajaji na boda boda

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Kaitaba, Nov 4, 2011.

 1. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kuanzi jumatatu ya 7/11/2011 bajaji na boda boda hazitzruhusiwa kuonekana kati kati ya jiji la Dar, badala yake zinatakiwa kuishia pembezoni tu, Hii ni kwa mujibu wa SUMATRA leo hii.
  MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA NA AJIRA .................., Ndo maana nikasema poleni jamani na ongera kwa kuichagua magwanda, vibaka watarudi uuuupya.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  madereva wa bajaj wanakera mno hawajui na hawafuati sheria za barabarani
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kama hawajui sheria kwa nini sasa wasipewe darasa halafu waruhusiwe kuingia mjin kuliko kuwazuia..
   
 4. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Bajaj NA PIKIPIKI kisheria sio commercial vehicles.......
   
 5. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 280
  Sijawahi kuona bodaboda yenye namba nyeupe. Sijui huko mjini wanaelewa nini kuhusiana na bodaboda.
  Je kila pikipiki ni bodaboda?
   
 6. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  je wanaokaa katikati ya mji wafanyeje?au na bodaboda wanasababisha foleni?ni mawazo mafupi kama maisha ya funza.
   
 7. sakapal

  sakapal JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,824
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  kama mlemavu anatumia bajaj ndo anaenda nayo job na hana uwezo wa kununua auto car hataruhusiwa pia? na mtu akinunua pkpk ya kujia job kama usafiri wake na anafanya kazi town ataruhusiwa?
   
 8. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Hayo ni matusi kwa waendesha hizo na wamiliki wa hizo, futa kauli yako hiyo.
   
 9. pinochio

  pinochio Member

  #9
  Nov 4, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Bora maana wamezidi kuvunja sheria za barabarani na kusababisha ajali.
   
 11. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #11
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ni wazo zuri sana!! Nawapongeza sumatra.

  Labda tuwekane sawa, wanaposema katikati ya jiji, mipaka ni wapi!!
   
 12. G

  Grey87 Member

  #12
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwan bajaj si zpo zenye plet no nyeupe?so inamaana znaruhusiwa kula vichwa,iwej leo wanatuletea story?nlishangaa at kuna bajaj mayai ka v8 vile
   
 13. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #13
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Fresh tu sumatra tubanien tu ila angalien isije kuwa ni mpango wa mkubwa flan ili alete biashara yake town....patachimbika....
   
 14. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #14
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,437
  Likes Received: 1,018
  Trophy Points: 280
  sumatra wehu tu! Na hawana ubavu wa kuzuia traffic wenyewe wangapi na kitu kidogo kama kawa.
  Waliambiwa dcm zinapiga kelele ikulu zikipita kwenda ferry na wasitoe vibari wamezuia dcm zote kinyemela wanakata
   
 15. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #15
  Nov 4, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  khaaaa mana ilikua ni kero
   
 16. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #16
  Nov 5, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Serikali hii ya kishkaj inapenda kweli shortcuts! Wangeimarisha usafiri wa umma kusingekuwa na ulazima wa matamko ya kijinga kila sku.
   
 17. KWI KWI

  KWI KWI JF-Expert Member

  #17
  Nov 5, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ahahahahaha nimecheka sana hapo kwenye RED.
  DCM a.k.a ''Gobore'' haziwezi kuondolewa kabisa....the same way kwa hizo bajaj na Boda Boda.....ni kauli tu hizo bila actions.''Poor Sumatra''na mipango mibovu.....ivi kuna watu wanakaa na wanalipwa kwa kufanya maamuzi kama haya?
  Ningewaona wajanja sana na wanamipango madhubuti kama wange zuia na private car zisiingie(ikiwa imebeba chini ya watu watatu) CITY CENTRE....Wakati huo huo wakiimarisha Public Transport(Dala dala) ziwe za ''level seat'' na Ziwe zina Fungwa kioo(AC Itumike)......
  Hapo,kila mtu atapenda kutumia Public Transport....
   
 18. J

  JF mteule Member

  #18
  Nov 5, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi hawa wenye bodaboda si ndiyo chama cha magamba wanawanunua wakati wa kampeni na kuwatumia kwenye misafar ya wagombea? ndiyo wajue ccm ina wenyewe.
   
 19. P

  PAFKI Senior Member

  #19
  Nov 7, 2011
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Jamani wakati mwingine 2cbishane tu bila kuwa na hoja,
  tujiulize kwann 2zuie bajaj na bodaboda,
  1. Kama ni ajali za bodaboda hazitokei city center tu tena pembeni ya mji ndio hutokea zaidi kwahiyo kufanya hivyo sio suluhisho la ajali za pkpk na bajaj na ukweli ni kwamba wengine husababishiwa ajali ne wenye magari kwakuwa wao hujiona watakuwa salama ndani ya gari.
  2.Kama ni foleni bodaboda hazihusiki hata kidogo tena zinasaidia sana kwa wakimbizanaji kwenye interviews kama cc kwahiyo halitakuwa suluhisho la foleni kuzizuia.
  3.Kama ni kuvunja sheria daladala na magari binafsi yanavunja sana tu sasa yazuiwe yacje mjini.
  Watuambie sababu zinazowafanya wazuie zisiingie mjini.
   
 20. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #20
  Feb 27, 2014
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,635
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  NCHI ya Matamko hiii,hakuna utekelezaji tokea 2011
   
Loading...