maskini Asprin

wanawake wa humu mi siwaelewi kabisa,yaani pepo la ngono litawamaliza.
muone alivyo mpana ka wingu!! chiboko yako mwanamke wa tra, ulikuja hapa unaongea ndimi juu! Kongosho unakumbuka tulivyomkuta anahaha baada ya kufanyiwa mbaya na watoto wa town eee??
 
Last edited by a moderator:
Nakukabizi kibali na fotokopi yake mkuu. Bishanga kaniahidi ataleta ushahidi wa hiki akisemacho na kukisimamia.

Kazi itabakia kwako kwa utekelezaji ukiona yabidi.
we sikiliza tu maneno ya huyo Bishanga! kwanza yule mod secret admirer wangu, cjui yuko wapi a-do the needful kwa Bishanga!
 
Last edited by a moderator:
kosa la kuzini nje ya ndoa katu halina msamaha,mwenyewe ushakiri one night stand na cacico,asprin tupa kurrreeee huyu mwanamke aisee.
na Zion Daughter ndo kaona amepata mwanaume wa maana?
mbeyaaaaaaa!! mfyuuuuuuuuu! haya nenda muweke The secretary nafasi yangu, naona umeshupaliaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Bepari hujambo??
Asprin anapendwa kama mambumunda na watoto
 
Hivi wanawake ws siku hizi wana nini maana wanazini sana nje ya ndoa
 
Bibi na Babu wakigombana nyumbani waache wenyewe wataelewana....pigeni mboyoyo tu nyie wakipatana mtasutwa hasa wewe Bishanga. Nimemaliza!
 
Last edited by a moderator:
anikane ana jeuri?? nimempa live kwenye sredi yake kuwa siwezi kumuacha mume ALIYENIBIKIRI ndio anapata aibu hapo! Bujibuji una nini nami?? mbona saa yangu haijawadia?
Sijakukana mama, wakati mwingine tubabu hutu tunakuwa kama tutoto, ni usara zaidi kutudanganya kwa peremende
 
Bepari hujambo??
Asprin anapendwa kama mambumunda na watoto
bepari mbeyaaaaa!! anapenda kushadadia ya watu! Bishanga nmekununulia dera, nitaliacha FINCA branch ya manzese, muulizie dada mmoja anaitwa mwantumu, yupo reception atakupatia!
 
Last edited by a moderator:

bishana baibe whats up bro!..
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kosa alilofanya Baba V ni kutounda kamati ya Maombi................ ndo maana niliona kama ameshindwa basi aunde kamati ya kuvunja ndoa za watu

Mungi sio kweli kuwa hakuna kamati ya maombi,hebu search ile thread utawakuta mle Kaizer na Pombekali ,tena juzi kati hapa nakumbuka Pombekali alishuka hapa na uzi wa maombi juu ya mahusiano hapa chit chat
 
Last edited by a moderator:
huyo aliyeanzisha uzi yuko wapi?? mbona mitini tena??
 


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…