FourTwoNet
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,401
- 2,751
NIkiskiaga watu wanamsifia naona wamelogwa... serikali imejaa wala vinyesi chungu nzima.Nilishsmama marakadhaa na narudia kusema kuwa 'nyerere alikuwa Malaya na si baba wa Taifa'.
πππ
Wazungu walipotaka kuwabadilisha waafrika, walianza kwa kuharibu historia zao na maadili ya mfumo mzima wa kufikiri.Ni ujinga sana kuendelea kumlaumu mtu alietoka madarakani zaidi ya Miaka 40 iliyopita, waliomfuata wameshindwa kurekebisha Makosa ya Nyerere aliyetawala miaka 24, na tawala zilioongoza kwa miaka 40 zimeshindwa. Tena basi nyerere ni bora kama aliweza kuweka mambo miaka 60 iliyopita yanatutesa hadi leo ana Akili kuliko tuliomfuata. Uzuri hata yeye alikiri kuwa yapo maeneo alikosea na akawaomba wengine wasiyaige wachukue mazuri. Mzee yule ametoka madarakani zaidi ya miaka 40 kuendelea kumlaumu ni sawa na kutwanga pilipili kwenye kinu
Aisee.Nilishsmama marakadhaa na narudia kusema kuwa 'nyerere alikuwa Malaya na si baba wa Taifa'.
πππ
Watu wa enzi hizo waliogopa mafanikio na wakazoea umaskini, siku hizi wakiona mtu ana hela utasikia ni frimaso.Alisimika mizizi ya kuwafanya watanzania kuwa waoga na wajinga ili aendelee kutawala, mtu alikuwa raisi kwa zaidi miaka 25, huo ndio udikteta uchwara aliowarithisisha ccm ndio maana mpaka leo hawatokubali kuachia nchi....
Kwa ujumla yule mzee alikuwa ni mshenzi sana, aliwafanya wazazi wetu wavae viraka na kuutukuza umasikini kama jambo la maana sana na ni kawaida kuwa masikini, Waliogopa sana kutafuta utajiri, kwa kugopa kuitwa msaliti, bwanyenye, bepari, mlanguzi.
Ilikuwa ukikutwa na Colgate nyumbani kwako unaitwa mhujumu uchumi,
Ukiwa na Radio kasseti unapigiwa mahesabu ya mshahara wako je umewezaje kununua radio kasseti kwa mshahara wa serikali....
Akatuingiza kwenye vita ya kijinga kumsaidia rafiki yake Obote, na kuongeza umasikini nchini kwa kiwango kikubwa, wakati Obote hata waganda wenyewe walikuwa hawamtaki na hakukaa muda akatimuliwa tena....
Ni Malaya Malaya tu, na ndio waliotufikisha hapa.NIkiskiaga watu wanamsifia naona wamelogwa... serikali imejaa wala vinyesi chungu nzima.
Wajinga tupu...mazuzu!!!
Hebu jaribu kufanya intellectual conversation na hawa watu wa miaka ya 1970 na kupanda juu. Utanielewa.
Hawa ndio wajinga wanaoliwa.
Iko wazi kama ya mbuzi mkuu πAisee.