Karibu niku hudumie ktk viwango stahikiNakuona wakala wa kutoa huduma za mtandao wa 0713 katika ubora wako.
Jamani,kuna shule ya kikatolic ya masista wa mt Mary huko Kisarawe, Wengi wanaoiendesha hiyo shule ni masista wa ki filipino.Cardinaly Pengo alitoa hekari 150,ili wajenge hiyo shule, Inachukuwa wasichana tu,wanaoishi ktk mazingira magumu sana,wanakosa ada,watoto hao watoke ktk mikoa yote Tz.walomaliza std 7.wanakwenda wenyewe kuwachukua,na wanawasomesha kuanzia form one mpaka chuo kikuu,kwa kipaji walichonacho.Kama mtoto anaelekea ktk mambo ya udaktari,basi watamwendekeza kwa kipaji hicho.Shule hizo ziko ktk mabara kadhaa duniani,ktk Africa,hii ndiyo yakwanza kujengwa. Baadaye watajenga tena ya wavulana.Jana wawata tulienda kuwatembelea. Tumeombwa tuwapelekee hao watoto ili waanze usajiri,kwaajili ya form one.Ahsante kwa taarifa nzuri na za kujenga kama hizi.Naomba kujua machache kuhusu hiyo shule
1. Mawasiliano yao (namba ya simu,po box,web site nk).
2. Jinsi ya kufanya usajili wa form one.
3. Mahali ilipo hapo kisarawe (Nina wenzangu ambao huwa tunatembelea vituo vya yatima na kutoa msaada)
Ahsanteni sana.