Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,176
- 1,475
- Thread starter
- #41
mmmh!ngoja nichunguze kama
hujavalia suruali chini ya makalio
ndio nikuamini!hahaa!
hapa k2 cha mkwiji.. Hakuna suruali kushuka
mmmh!ngoja nichunguze kama
hujavalia suruali chini ya makalio
ndio nikuamini!hahaa!
pouwaaaaa!
hapa k2 cha mkwiji.. Hakuna suruali kushuka
kitu gani tena!
hahaaa!shem mtata duuuh!
Kufunga mkwiji? tena kijana alafu unasema is hip hop kha!
Kufunga mkwiji? tena kijana alafu unasema is hip hop kha!
m ready 4 qn!
be free!
funguka manoh . Mtt anasubir wazo la leo
funguka manoh . Mtt anasubir wazo la leo
karibu jf mkuu sms language are prohibited sawa kama huwezi kumalizia maneno kaa kimya au like tu usepe..
shemeji yangu ananitsha
au aliniona chobingo na flani labda!
ngoja 2subir labda anapangilia maneno kuntu
ha ha hami dume la mbegu dawa ya madem tasa na wagumba
ha ha ha
Vyuo vya ma hip hop ni;
1. Magogoni na Uhazili ( utumishi wa uma )
2. Ustawi wa jamii
3. Chuo cha taifa utalii
4. Mweka
5. Cbe
6. Ifm
7. Eangle wing
8. Tia
9. Ita
10. Udsm