katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,756
- Thread starter
-
- #21
Atakuja tena atakuja kiutani tu.Katoto kazuri na Mimi nipo single muda mrefu Sana Zaid ya mwaka niliachana na mchumba wangu nimeamua nisubiri kwanza mke mwema toka kwa bwana
Wengine hatujapata waolewaji aiseeYeyote ambae hana mtu aje hapa ache atuambie why ni single
Dah best pole tusamehe kama tumekuudhii .Mnajadili nn single lady, kwan kutokuwa kwenye mahusiano ni kosa c in maamuz tu, hata we ukiamua kuwa nae utakua nae tu. May be use na sura mbaya na huna chura.
Lakin kama mrembo unawac WAC gan, muda ukifika utampata alie sahihi kwako be smart
Inategemea ulimpendaje mana kama huku mweka moyoni hata mwezi mmoja unamsahau kama ulimpenda ni inachukua miezi mwaka.
Na wewe wa kuliwa na kuachwa kila Siku hahaha vitimbwi vimepunguaKwanini uko single mpaka sasa ??
Unadhani wapi ulipopakosea ?
Au ni shida nini ?
Karibuni tujadili madaa.
Matusi yanaruhusiwa.
Wa upande wote au ni ke tuuKwanini uko single mpaka sasa ??
Unadhani wapi ulipopakosea ?
Au ni shida nini ?
Karibuni tujadili madaa.
Matusi yanaruhusiwa.
Dah matusi hayo kama nini jamani.Na wewe wa kuliwa na kuachwa kila Siku hahaha vitimbwi vimepungua
Wote kabisa bosy sio kwamba mimi ni single au sio single mimi niko njia panda so nimetoa huu uzi ili mje walio singlesWa upande wote au ni ke tuu
Si umesema yanaruhusiwa kwani ni kosa?Dah matusi hayo kama nini jamani.
Niache by DIAMOND PLUTNUM
Dai anamasifa tuSi umesema yanaruhusiwa kwani ni kosa?
Dai nendeni mkadondoke kwenye majukwaa nadhani kichaaa kimeanza
Si ndo mnayapenda wanawake mnayafuataDai anamasifa tu
Sio single mama tu,yy kasema masingo ina maana me au Ke kama upo singleMasingle mother njooni huku mwenzenu huyu huku!
AhsanteNipo single sababu sina pesa ya kumhudumia mwanamke nitakayekuwa naye, hivyo naacha tu kutongoza.
Sabuni inanihusu
Anza wewe!! Kwa nini upo single?Kwanini uko single mpaka sasa ??
Unadhani wapi ulipopakosea ?
Au ni shida nini ?
Karibuni tujadili madaa.
Matusi yanaruhusiwa.
Kwani we single?Sio single mama tu,yy kasema masingo ina maana me au Ke kama upo single
Mimi siwezi sema nipo single au double sijui ikifika time nitasemaAnza wewe!! Kwa nini upo single?
Hujaniudhi my, ila naona kama unachukulia seriously inshu ya kuwa single wakat ni kawaida mbona.Dah best pole tusamehe kama tumekuudhii .
Sura sio lazima hata mbuzi anayo shida ni WOOOO .
Poa babe so ua enjoying how about marriage.Teh, mi niko single sababu mauzauza ya mapenzi yamenishinda, na sijutii kuwa single, am enjoying life at large