katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Mimi sio single mother mimi ni single lady .Masingle mother njooni huku mwenzenu huyu huku!
Ndio yanaruhusiwaMatusi yanaruhusiwa..!! [emoji15]
Wote ndio maana ya masingle wote wakutane hapa wajadili hali zao.Masingo gani unawataka,maza?au faza?
Mimi sio single mother mimi ni single lady .
Nimesemaasingle sio faza au mamaAhaaaaaa! Nikajua single mother.
Uwe unasema sasa mapema.
Yeyote ambae hana mtu aje hapa ache atuambie why ni singleMasingle mama, baba au wale ambao bado ni bikra
You sound to be so seriousMnajadili nn single lady, kwan kutokuwa kwenye mahusiano ni kosa c in maamuz tu, hata we ukiamua kuwa nae utakua nae tu. May be use na sura mbaya na huna chura.
Lakin kama mrembo unawac WAC gan, muda ukifika utampata alie sahihi kwako be smart
Inategemea ulimpendaje mana kama huku mweka moyoni hata mwezi mmoja unamsahau kama ulimpenda ni inachukua miezi mwaka.Inachukua muda gani kuwa single baada ya kuachana na mpenzi wako?
Haya bhana πππNipo single tangu nimezaliwa sijawahi kuDO...
Hata huyu sikuwahi kuDO nae....
Mwanamke mwenye tabia za kijini aliniacha katika mazingira ya kutatanisha. - JamiiForums
huyo binti kwenye thread nahisi alinichawia.