nilitegemea ungesema badala ya kumpanga msuva wa yanga kuna mtu anaitwa john faru wa bwimbwi fc, suala la kusema mkoani kuna wachezaji wazuri alafu hauwajui hata majina, alafu unajifanya unajua performance zao huo ni batchite. Umuache golikipa wa yanga mwenye clean sheet nyingi au wa azam then umchukue wa wapi? Yaani ligi kuu nzima wafungaji bora moja mpaka tano wanatokea timu tatu. Alafu ukachukue mshambuliaji misungwi fc, utakuwa na kichaa, yaani unawatetea watu ambao huwajui hata kwa majina wala performance na unataka wachukue nafasi za kina ajibu? Lazima ujiulize kwa nini wachezaji wenye magoli mengi ni msuva na kichuya(simba na yanga) midfielder wenye assist nyingi wanatoka huko pia, makipa waliofungwa goli chache wanatoka huko pia, hamna reasoning bali kazi kulalamika tuu, mbafikili kuunda timu ya taifa una balance kama tume ya katiba?Mbona msimu ukiiasha hao simba na yanga wanaenda mikoani kuchukua wachezaji? Kama mikoani hakuna wachezaji wazuri.angalia hata uingereza wachezaji aliwika tu zile big four team wanawachukua .mbona kocha wa england achukui tu timu za big four? yeye huchukua mpaka timu ndogo ndogo
Ukweli kwa maana ya timu ya Taifa hakuna kabisa. Wanatumia mtindo wa Mourinho. Angalia timu za vijana na wanawake.Sitaki kuamini kwamba wachezaji wazuri nchi hii wamo kwenye timu zile 3 tu za mkoa wa DSM , hii itakuwa ni kashfa kubwa sana na ni kutowatendea haki wachezaji wengine waliojazana kila pembe ya nchi .
Sijaridhishwa na uteuzi wa timu yetu ya Taifa , ni wa kibaguzi na umejaa ubabaishaji mtupu.
Nakulilia Maximo .
Mtindo wa mourinho ni upi? Na wachezaji wa timu ya taifa sio wote wanatokea Dar ila wanatoka kwenye timu za dar,wachezaji wa viwango vya juu wa mikoani mwishowe huja kusajiliwa kwenye hivi vilabu vya dar ndo maana inakua rahisi kuselect best players,ahya pia msimamo wa ligi kwa miaka mingi unahusisha hivi vilabu sasa kwa nini wakachukue wachezaji wa mikoani ambapo vilabu vyao tu vinashika mkia?Pia maswala ya uzoefu wa mechi za kimataifa utakuta tena ni hivi hivi vilabu vya Dar vinakizi vigezo.Ukweli kwa maana ya timu ya Taifa hakuna kabisa. Wanatumia mtindo wa Mourinho. Angalia timu za vijana na wanawake.
Mkuu, siwezi bishana na wewe lakini wengi tunaona uwakilishi kitaifa kwenye soka haupo.Mtindo wa mourinho ni upi? Na wachezaji wa timu ya taifa sio wote wanatokea Dar ila wanatoka kwenye timu za dar,wachezaji wa viwango vya juu wa mikoani mwishowe huja kusajiliwa kwenye hivi vilabu vya dar ndo maana inakua rahisi kuselect best players,ahya pia msimamo wa ligi kwa miaka mingi unahusisha hivi vilabu sasa kwa nini wakachukue wachezaji wa mikoani ambapo vilabu vyao tu vinashika mkia?Pia maswala ya uzoefu wa mechi za kimataifa utakuta tena ni hivi hivi vilabu vya Dar vinakizi vigezo.
Hamna anaebishana,toa hoja au sababu zinazopelekea wewe kusema hivyo, halafu watu hapa watazijadili kwa kina,ndo lengo hasa la forum yoyote.Mkuu, siwezi bishana na wewe lakini wengi tunaona uwakilishi kitaifa kwenye soka haupo.
Mimi naangalia uchangiaji wa wadau humu najichekea tu !Inawezekana hawana nauli kuwatumia wale wa mikoani,,,#@si bure beki zipi !!!!? Prison beki zake zipo njema sana
Kwa ukuta ule iko siku mtatandikwa tena 7-0 .Ndio maana hili timu silipendi.Jana wamewafunga wale makirikiri wanajiona wanajua
Kigezo chao kikubwa uwe simba,azam,yanga,,# nje ya hapo mmmmmmmmmmm ,utatusameheMimi naangalia uchangiaji wa wadau humu najichekea tu !
Wamesahau kwamba timu nyingi za ligi kuu zina wachezaji wakali tu , kwa mfano ni vigezo gani vimetumika kuchagua makipa wa Timu ya Taifa , hivi mnataka tuamini Manula na Munisi ni wazuri kwa vile wanadakia azam na yanga ?
Mwisho wa Malinzi na kundi lake umefika rasmi .Kigezo chao kikubwa uwe simba,azam,yanga,,# nje ya hapo mmmmmmmmmmm ,utatusamehe
Nilibahatika kutazama mechi zao zote...Hukumbuki mwaka fulani iliundwa timu ya taifa B nadhani ilikuwa inaitwa KAKAKUONA ikafika nusu fainali kama sio fainali challenge.....mwenye kumbukumbu anirekebishe tafadhali
Yaah tulikuwa na kakakuona na Victoria hao kakakuona ndio kina marehemu kabunda kina gasper lupindo kina kaunda mwakitope mbuyi yondani golini nadhani alikuwa Jose katuba tulifungwa fainali na Uganda ya kina issa seketawa robert semogerere paul hasule wengine wamenitoka mwaka 1992Ilifika fainali. Namkumbuka sana Salum Kabunda. Wakati kakakuona wakifika fainali wale Simba na Yanga walitolewa mapema