inauma sana Jose,uwezo wao kutatua tatizo ni mdogo sana,mtu anakuambia ndiyo tunaona hapa kwenye computer lakini nenda ofisi yetu iliyo karibu nikiangalia nauli ni sh 2,000. sasa si uniunge tu kifurushi kingine au urudishe 3,000 yangu wananiambia haiwezekani.Pole sana mkuu aseeh
nalifikiria hilo,namcheki rafiki yangu kamaliza chuo mambo ya sheria(sijui kama ataruhusiwa ku practice,iama not sure) anisaidie nijitoe muhanga ili wengine wasije onewa tena,nitawafikisha mahakamani kwa ajili ya hiyo tshs 3,000 ushahidi ninaoHakuna hela ndogo duniani komaa tafuta wakili kabisa ufungue kesi, utapeli haukubaliki
nalifikiria hilo,namcheki rafiki yangu kamaliza chuo anisaidie nijitoe muhanga ili wengine wasije onewa tena,nitawafikisha mahakamani kwa ajili ya hiyo tshs 3,000 ushahidi ninao
kwa namna yote nityalifikisha hili suala mbali,nitajaribu pia kuwaandikia TCRA ingawa sote tunajua hawajali sana mambo haya maana wangekuwa wanajali hali ya upuuzi ya haya makampuni ya simu isingefikia hapaHata kama unatakiwa kulipia 3m za kesi sema tukichangie, wizi sio mzuri. Tundu lLissu yupo pia
kinachosikitisha zaidi mamlaka husika zimekaa kimya, kuna haja ya mamlaka ya kutetea watumiaji wa huduma za mawasilianoinauma sana Jose,uwezo wao kutatua tatizo ni mdogo sana,mtu anakuambia ndiyo tunaona hapa kwenye computer lakini nenda ofisi yetu iliyo karibu nikiangalia nauli ni sh 2,000. sasa si uniunge tu kifurushi kingine au urudishe 3,000 yangu wananiambia haiwezekani.
Malalamiko yapeleke TCRAkifanyike nini sijui ila jamaa wana dharau sana,they are thieves in suits.
Weka audioNi Tshs 3,000 najua wengi hapa mtanicheka na kunikebehi ila hili suala limenifungua macho ni kwa kiasi gani haya makampuni yanaibia wananchi,ni nani wa kutetea raia dhidi ya wizi huu? kuna hata taasisi ya kutetea consumers kweli nchi hii?
Tarehe 25 june 2017 jumapili, saa saba mchana niliweka kifurushi cha weekend pack cha Tshs 3,000 kikaingia na kuonyesha salio hadi muda wa kuexpire ila nikawa nikijaribu ku browse napata meseji kwamba sina salio, kupiga customer care nikaambiwa kinatakiwa kianze kutumika jumamosi kwa hiyo nisubiri hadi jumamosi ya the coming week ambayo ilkuwa tarehe 1/7/2017.
Nilivumilia hadi hiyo siku,the same story salio likawa halipo kabisa ,kupiga customer care zikaanza danadana, simu wanapokea wanaongea vizuri kweli na kusema tatizo linarepotiwa kwa kitengo husika,kuanzia tarehe 1 hadi leo nimepiga simu zaidi ya kumi na baadhi nimezirekodi ila ya leo ndiyo kali maana nimeambiwa kwenye log yake inaonyesha nilipigiwa simu na kufafanuliwa kwamba kifurushi chambu kime-expire,
ukweli ni kwamba sijapokea simu yoyote kutoka HALOTEL VAS kuhusu hiyo issue,yaani kuna mtu huko kaona ni usumbufu basi kaamua kulimaliza hili suala kirahisi kwa kudanganya
Imeniuma sana,najua wengine mtanirushia kejeli lakini kama tunapokea wawekezaji wanakuja kutuibia kwa style hii basi ni ujinga,kwenye nchi zao customer care inaheshimika na kuna mfumo wa kuwalinda wakija huku ni dharau tu,imagine hiyo 3,000 ya weekend pack kama wameibiwa watu 10,000 HAWA WEZI WA HALOTEL wameingiza shilling ngapi in a day????
Sasa hiyo halopesa yao si ndo wataibia watu mpaka wakome kama 3,000 tu inawashinda ku solve na kuanza kuambiwa nenda ofisini kwetu,sehemu ambayo itabidi nichukue usafiri wa kwenda na kurudi wa sh 2,000.
Nasikia harufu ya watu kupigwa ma laki ya pesa huko halopesa ,simu ikipigwa jibu itakuwa ni kwamba suala lipo kitengo husika,damn slow MOFOS.
ninazo tatu,sababu wao husema wanarekodi wateja kwa kuboresha huduma na mimi pia nilirekodi,ila kama sio dharau basi HALOTEL VAS wanahitaji msaada wa watu wanaoweza ku respond haraka na ku solve matatizo madogo kwenye computer sio kitu kidogo kuambiwa nenda ofisini kwetu sasa kama kama mzee Albert Bashite yupo kolomije aende hadi mwanza mjini ?kuna mdau hapo juu kasema kukwangua vocha ya sh 500 tarakimu moja ikafutika ,customer care wakamuambia aende ofisini,walishindwa hata kuangalia serial number ya vocha na kumsaidia through the phone????Weka audio
Acha maneno Weka ushahidi hapa wa audio mkuuninazo tatu,sababu wao husema wanarekodi wateja kwa kuboresha huduma na mimi pia nilirekodi,ila kama sio dharau basi HALOTEL VAS wanahitaji msaada wa watu wanaoweza ku respond haraka na ku solve matatizo madogo kwenye computer sio kitu kidogo kuambiwa nenda ofisini kwetu sasa kama kama mzee Albert Bashite yupo kolomije aende hadi mwanza mjini ?kuna mdau hapo juu kasema kukwangua vocha ya sh 500 tarakimu moja ikafutika ,customer care wakamuambia aende ofisini,walishindwa hata kuangalia serial number ya vocha na kumsaidia through the phone????
Na kwa tunaotumia nokia tochi na sisi tunaacha data on??Haya malalamiko ya kuibiwa kweli yapo lakini wengi huwa tunasahau na kuacha data on huku tunajua hatujajiunga kifurushi chochote.
hapana issue yangu ni kwamba nilijiunga jumapili nikaambiwa weekend pack inatakiwa ianze jumamosi so wakasema itafanya kazi next saturday sasa hadi leo imeshindikana na kurudisha hela wamekataa..issue ni ya kuanzia tarehe 25 june,kwenye simu kiukweli customer care wana lugha nzuri kweli lakini ki ujumla hii kampuni either technology ni ndogo,wafanyakazi hawana motivation probably mazingira ya kazi ni mabaya au wameajiri vilaza wengi,mimi naamini la tatu,kuna vilaza wengi kama hao wanaokuambia uende ofisini kisa tarakimu moja kwenye vocha ya sh 500 haionekani vizuriHaya malalamiko ya kuibiwa kweli yapo lakini wengi huwa tunasahau na kuacha data on huku tunajua hatujajiunga kifurushi chochote.