Masikitiko: Nimetapeliwa na Halotel

Masikitiko: Nimetapeliwa na Halotel

sikiliza boss,niweke ushahidi wewe ni muhusika au nyie ndio wezi wenyewe,nenda kwenye page ya facebook ya halotel Tanzania nimepost the same thread na lst week niliweka namba yangu ya simu,nothing to hide.Usiniletee u senge rema hapa
Wewe ni me au ke?
 
~~>>>Hizi kampuni wote ni Majizi tu........... Nimekumbwa na misuko suko ya kuibiwa fedha zangu ktk mtandao wa tiGO mara kadhaa.....
Kwa hili tiGo ni mafundi mno mkuu, Mimi Sikh hizi nimeacha kutumia line ya tiGo
 
Pole Sana mkuu
inaboa sana kama hapa nimebakiza vi mb vichache ,naishiwa kabisa kwa hasira nakumbuka hizo gb 3.6 walizoniibia 2 weeks ago inauma sana haswa ukizingatia hakuna hata chombo cha kusaidia consumers maana TCRA haya ya hawa jamaa ni kama hawayaoni
 
Hata mm washawahi niliza buku niliweka 2000/- nikajiunga bando la chuo la wiki ikabakia 1,000/- nikasema ngoja muda uende nitajiunga dakika baadaye nimekaa baada ya dakika 6 wanatuma sms eti wamekata 1,000/- eti nilikopa wakati hata hiyo Huduma ya kukopa siijui na line yao huwaga natumia internet tu kupiga huduma kwa wateja hadi nilichoka hivyo sasa hv naishi nao kwa timing najaza nakujiunga hapo hapo
 
la
kinachosikitisha zaidi mamlaka husika zimekaa kimya, kuna haja ya mamlaka ya kutetea watumiaji wa huduma za mawasiliano
Haiwezekani TCRA wamo humu pia wakae kimya kama hawahusiki, Labda kama wana-percentage zao Jaribu kuwasema wao direct uone watakovyo tiririka humu. mimi walinipiga laki 150 iliingia kwa namba ya wakala wao mwingine kimakosa , nimesubiri hayo masaa 72 mpaka ikafika miezi 3 nimezipata baada ya kuwapelekea demand note.

Tuna hangaika hivyo kama watoto wasiokuwa na mzazi, hatuna mtetezi. hizo vocha za kuweka na kukuta haina hela nimepigwa sana. Kwakuwa nina haraka na mawasiliano yangu na nunua nyingine nipige kwanza. Miminiamua kuwapa adhabu ya kuwahama mtandaoni. Wakijisifu na kujitangaza napatwa na hasira natamani wakimaliza na mimi nianze kuwafichua
 
Inashangaza kwa kweli ila hili suala nitajitahidi kutafuta hata namba za wahusika wa juu wa Tcra nitume sms hata e mail nione mwisho wake,najua itachukuliwa poa sababu ni 3,000 lakini ni wangapi wanaibiwa hivi?sasa ndo napata hata ufahamu kuona kwa nini yule Ceo wao m vietnam alifikishwa kisutu kwa uhujumu uchumi akalipa fani ya milion 400 sijui ndo wanazifidia kwa kutuibia vi elfu tatu vyetu?
 
halafu watu washalalamika sana humu, na trca wana account yao humu lakini hawajajibu lolote, mie niliweka elf 10 kwa modem kisha nikaweka pembeni wiki 2 baadae nataka nitumie modem naambiwa hamna balance na nilijiunga cha elf 10 nikapewa gb 10 na dk 1200 za halotel tu halotel
 
siyo kwamba ulijiunga cha week muda ukawa umeisha?
 
la

Haiwezekani TCRA wamo humu pia wakae kimya kama hawahusiki, Labda kama wana-percentage zao Jaribu kuwasema wao direct uone watakovyo tiririka humu. mimi walinipiga laki 150 iliingia kwa namba ya wakala wao mwingine kimakosa , nimesubiri hayo masaa 72 mpaka ikafika miezi 3 nimezipata baada ya kuwapelekea demand note.

Tuna hangaika hivyo kama watoto wasiokuwa na mzazi, hatuna mtetezi. hizo vocha za kuweka na kukuta haina hela nimepigwa sana. Kwakuwa nina haraka na mawasiliano yangu na nunua nyingine nipige kwanza. Miminiamua kuwapa adhabu ya kuwahama mtandaoni. Wakijisifu na kujitangaza napatwa na hasira natamani wakimaliza na mimi nianze kuwafichua

aseeh ni noma mkuu
 
Mie voda ndio walinizungusha na 2000 yangu wiki 3, kila nikipiga simu maelezo ni yale yale, na maelezo yao sijui wamekaririshwa, watu tofauti ila maelezo sawa.

Bahati nzuri siku hiyo nikapiga simu akapokea mkaka, akaanza na maelezo yale yale nikamstopisha, nikamwambia tu sitaki maelezo ya kukaririshwa bali aangalie hilo tatizo na alishughulikie as ni la kitambo, lasivyo nitachukua hatua zaidi(mkwara tu) akacheki na bahati nzuri akalishughulikia na salio likarudi.
 
Back
Top Bottom