Masikitiko: Mshindi wa BSS 2009 anahitaji msaada

Masikitiko: Mshindi wa BSS 2009 anahitaji msaada

Huyo wababa ndiyo yule jamaa alikuwa anavaa likofia kama la cowboy. Jiwe naye alikuaga na iyo swagger ya kuvaa hilo likofia ya cowboy akiwa Waziri wa ujenzi.

Siku hizi naona tangu awe Rais alivai ila anavaaga kikofia flan kama za Charlie chaplain wa 1940s hasa akiendaga bandarin kwa ziara za kushtukizia. Ila jiwe ana swagger za ajabu
View attachment 1143335



hahahhahaha...ukute pia ana trauza nyepesi nyeupe ya kitambaa😂😂😂
 
Back
Top Bottom