Masikitiko: Mshindi wa BSS 2009 anahitaji msaada

Masikitiko: Mshindi wa BSS 2009 anahitaji msaada

Mungu amnusuru ni moja ya watu niliowapigia mpaka kura namkubali sana huyo mtumishi hayo ni mapito tu
 
Nimesoma kwenye gazeti la Mwananchi la jana,Pascal Cassian mshindi wa BSS mwaka 2009 anahitaji msaada baada ya kupata ajali Oktoba 10 akitokea mkoani Kigoma kwenye shughuli ya neno la Mungu,mpaka sasa anakojoa kwa kutumia mpira baada ya kibofu cha mkojo kupata hitilafu kutokana na ajali hyo,mpaka sasa kalazwa Muhimbili.
 
IMG_20181125_130647.jpeg
 
Back
Top Bottom