Masikitiko: Mshindi wa BSS 2009 anahitaji msaada

Masikitiko: Mshindi wa BSS 2009 anahitaji msaada

Anaitwa Pascal Cassian yuko Muhimbili hali yake ni mbaya sana , yasemekana alipata ajali , Msaidieni jamani .

kutoa ni moyo na Mungu atawalipa
Ajali ya nini bodaboda,alikwaaa gridi ya taifa tulia vizuri uandike ueleweke usiwe kama mtu aliyekunywa juice ya ukwaju ikamvuruga tumbo huku akiwa anataka awe wa kwanza kutuma taarifa.
 
Tatizo hela za MICHANGO au za RAMBI RAMBI siku hizi wanapeleka kwenye mambo yasio husika, mambo yasio kwenye nia zetu wachangiaji.

Tulitoa michango ya wahanga kule BUKOBA, ila. . .

Tukatoa na kule UKEREWE kwa ndugu zetu, na kwenyewe dah. . .

NB Ila ndugu mwandishi, mungu akubariki kwa moyo wako wa huruma ulio onesha kwenye kuandika huu uzi.
 
Ndo yule aliyekuwa anapiga gitaa?
 
msaada mkubwa kutoka hapa ni 'pole' hayo mengine atajua mwenyewe
 
UMENIKUMBUSHA MBALI SANA MPAKA RAIA WAKASEMA JAMAA ANAKULA MADAM
Screenshot_20181125-121659.png
 
Back
Top Bottom