Masikitiko: James Lembeli kupigwa chini

Masikitiko: James Lembeli kupigwa chini

Robethn

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
2,103
Reaction score
354
Hatimaye ngome ya Chadema imevunjwa na waliokuwa viongozi wa chadema jimbo la Kahama kutokana na kutokubaliana na ujio wa James Lembeli katika jimbo hilo huku wazawa, wazalendo na waanzilishi wa chadema katika jimbo hilo wakitupiliwa mbali. Wanachama na viongozi hao wamesema hawako tayari kubuluzwa na wameamua kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Taifa.
 
Eenhe,ebu tupia vitu!Hv yule Kishmba anayegombea Kahama ndo huyo wa Imalaseko?
 
mleta uzi bila shaka ndani ya kichwa chako mna friji hivyo ubongo wako umeganda.HAYA KIMBIA LUMUMBA UKACHUKUE BUKU SABA YAKO MANA MIDA YA LANCH HII.
 
Hatimaye ngome ya Chadema imevunjwa na waliokuwa viongozi wa chadema jimbo la Kahama kutokana na kutokubaliana na ujio wa James Lembeli katika jimbo hilo huku wazawa, wazalendo na waanzilishi wa chadema katika jimbo hilo wakitupiliwa mbali. Wanachama na viongozi hao wamesema hawako tayari kubuluzwa na wameamua kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Taifa.

Inabidi ukapate ushauri kwa Dakitari inawezekana ubongo umecheza kidogo.
 
Lembeli anasubiri kuapishwa tu halafu mtu analeta udaku humu.
 
Hatimaye ngome ya Chadema imevunjwa na waliokuwa viongozi wa chadema jimbo la Kahama kutokana na kutokubaliana na ujio wa James Lembeli katika jimbo hilo huku wazawa, wazalendo na waanzilishi wa chadema katika jimbo hilo wakitupiliwa mbali. Wanachama na viongozi hao wamesema hawako tayari kubuluzwa na wameamua kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Taifa.

Wewe ndo umepigwa chini ukavimba juu
 
Vibaraka wa ccm wengi hapa wameshaiona hali halisi na wamelazimika kukaa kimya !
Lakini yaonekana bado "vibaraka-masalia" mpo , maaniner mtaondoka tu !
 
Kwani lembeli alijiunga na chadema mbona alikuwa anasema Lowasa ni jambazi sugu la ufisadi imekuwaje kaungana naye.
 
Ebana huu ndo ukichaa uliokubuhu,zungumzeni fact, toa uthibitisho kwa kupinga hoja.

Hata kama hujui kusoma hata picha huoni?.Fika kwenye mkutano ya Lembeli uone mwitikio.Lembeli ni Kahama na Kahama ni Lembeli.
 
Subirin kiama nyie ccm Kila kitu mnajaribu kunusa kama paka
 
Weka picha ya lembeli; tulisha musahau
 
Back
Top Bottom