Masikitiko: Clouds Tv yageuka Vuvuzela la CCM

Masikitiko: Clouds Tv yageuka Vuvuzela la CCM

Mkuu jifunze kuwa mvumilivu kwa kupokea habari hasi
Kwani unawasaidia kulipa mishahara?
Mkiambiwa mfungue redio na tv zenu,ruzuku mnagawana tu kama njugu
Teh teh ruzuku analipwa mbowe akawekeze mashamba yake ya ngogwe.
 
Imebidi leo nikudukue kidogo... Kumbe kiumri wa JF umeniacha mbali... [emoji112][emoji122][emoji112][emoji122]

Shukrani
Kilicho kusukuma ni posti ya na popcorn si ndio au? 😀
Na ban sijawahi kuionja... Oyeeeee
 
Upinzani mbona nyie mkirekodiwa nao.. wenzenu hawawasemi? Post za juu yangu hapa ni mmeitana ndotoni.. wanga eti nyie!!!! eeeeeh[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mnazidi kujichimbia kaburi.. tumewachoka. Muache watu wa Media watupe habari.. mnapoita nyie mapaparazi kwa kulia lia mbona huwa hamlalamiki kutowahitaji?
ccmchanel!
 
Hiki chama kinataka kuvuruga amani ya nchi , wastaafu wanakiangalia tu wanafikiri wao watakuwa salama amani ikivurugika
CCM mnaionea tu,CCM ilishakufa Siku nyingi kuendelea kuisema hapa ni sawa na kumsimanga marehemu.Hao ni wahuni wachache wameamua kuvaa Nguo za marehemu na watu wanafikiri ni marehemu mwenyewe.
 
Zimebakia taratibu chache sana CMG nayo iwe Mali ya Chama Nyundo na Jembe nchini Tanzania kama ilivyokuwa kwa AMG.
Ha ha Magufuli ni mwoga zaidi ya kunguru yaani anaogopa challenge za media kama nini ilala akina musiba band ndio wake
 
Lakini Watanzania ni wapole au waoga?
Tundu Lissu amepigwa risasi mchana kweupe tumemuachia Mungu, amevuliwa ubunge tunamuachia Mungu.

CCM endeleeni kutuchezea kama madoli.
Sisi ni maboya sana acha watuburuze watakavyo tukome.
 
Ukianzia kule Ruvuma kwa yule bwana tumbo tumbo wa UVCCM anayejifanya kukagua miradi ya serikali as if ni kiongozi wa serikali , na leo nimeona hii ya Iringa nikacheka kwa dharau sana !

Hivi kweli kitu mlichoanzisha kwa jasho na damu leo mnakiteketeza kirahisi namna hii ?

Hapa chini nimeweka taarifa ya cloudstv instagram hebu jioneeni wenyewe .
nina muda sijaangalia clouds
 
Back
Top Bottom