Masikitiko: Clouds Tv yageuka Vuvuzela la CCM

Ukianzia kule Ruvuma kwa yule bwana tumbo tumbo wa UVCCM anayejifanya kukagua miradi ya serikali as if ni kiongozi wa serikali , na leo nimeona hii ya Iringa nikacheka kwa dharau sana !

Hivi kweli kitu mlichoanzisha kwa jasho na damu leo mnakiteketeza kirahisi namna hii ?

Hapa chini nimeweka taarifa ya cloudstv instagram hebu jioneeni wenyewe .
Clouds ilikufa na Ruge mkuu, Mimi sishangai habari za mjini kuwa walimpa sumu halaf wakawa wa kwanza kujidai kuchangia matibabu!
 
Lakini Watanzania ni wapole au waoga?
Tundu Lissu amepigwa risasi mchana kweupe tumemuachia Mungu, amevuliwa ubunge tunamuachia Mungu.

CCM endeleeni kutuchezea kama madoli.
Wewe ni muphilipino?
 
Sisiemu hii ya jpm haikwepeki. Ni kama maji. Hata muanzishe ufipa tv na wewe mleta uzi ndio mtangazaji lazima utaanza kukatika nyimbo za sisiemu kwenye laivu tv. Karibu chama la wana. Chama la rais mchapakazi T 2025 JPM.
 
Mkuu

Bado hujafikiwa......

January, nape, mwigulu waliamini hawato fikiwa....

Jifunze
 
Ukianzia kule Ruvuma kwa yule bwana tumbo tumbo wa UVCCM anayejifanya kukagua miradi ya serikali as if ni kiongozi wa serikali , na leo nimeona hii ya Iringa nikacheka kwa dharau sana !

Hivi kweli kitu mlichoanzisha kwa jasho na damu leo mnakiteketeza kirahisi namna hii ?

Hapa chini nimeweka taarifa ya cloudstv instagram hebu jioneeni wenyewe .

View attachment 1148998
CCM ni kama maji, usipokunywa, utaoga, usipooga, utanawa, usiponawa, utafulia, usipofulia utajengea, usipojengea utamwagilia...hamna namna, ni kibano pande zote. Hamtaki anzisheni Ufipa FM & TV. After all hicho ni chombo huru na hamjawachangia mtaji. Pambaneni na hali yenu
 
Ukianzia kule Ruvuma kwa yule bwana tumbo tumbo wa UVCCM anayejifanya kukagua miradi ya serikali as if ni kiongozi wa serikali , na leo nimeona hii ya Iringa nikacheka kwa dharau sana !

Hivi kweli kitu mlichoanzisha kwa jasho na damu leo mnakiteketeza kirahisi namna hii ?

Hapa chini nimeweka taarifa ya cloudstv instagram hebu jioneeni wenyewe .

View attachment 1148998
Bado wanamwogopa makonda si unajua hayo ma tamasha yai ya fiesta mikoani makonda akiongea kwa mzee tuu mzee anaoiga simu kwa mku wa mkoa fulani au kwa polisi ngoma inaahirishwa
 
Back
Top Bottom