Mijitu mingine bana, yaani unaquote thread nzima ili kucomment utumbo!!!!Paka wangu,umesoma yote haki imenshinda
Hiyo pesa aliyomudu kuichimbia kwenye Tigo yake kwa miaka hiyo ya 90 ni zile coin ya shilingi Tano zinye pembe pembe au unaongelea kiasi kipi hicho?Nilichukua toto moja la kariakoo miaka ya 90, kuingia nalo gheto nikachukua funguo nikaweka kwenye mkoba wake.. nikalala kimachale nikaliona limezama kwenye jeans yangu likachukua mpunga wangu sasa balaa funguo haionekani huku na kule basi likachukua zile hela akachimbia kwenye tigo yake akarudi kulala, nikaamka usiku nikaomba game nikapewa asubuhi kumekucha sasa dah balaa maisha haya..........
Mijitu mingine bana, yaani unaquote thread nzima ili kucomment utumbo!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekatazwa inbox kwani mpaka sasa kesi ipo polisKamalizie na black jesus mkuu.
Nitumie mimi inbox nitatunza siriNimekatazwa inbox kwani mpaka sasa kesi ipo polis
Achana naye huyo kipenzi , binadamu wengine ni wa kuwadharau tu .Hajui tulipotoka na hata maana ya neno thread hajui. Ni wa kuhurumia.Tafadhali naomba angalia tena kama nimequote thread nzima na uje hapa uniombe radhi,sina ujinga huo tuheshimiane aisee,nimemquote paka wangu tu kuna tatizo na hilo?
Uwe unauliza kabla ya kuchangia. Miaka hiyo kulikuwa na noti za mia, mia mbili mia tano sasa kama hukuziona basi ulikuwa hujazaliwa.Hiyo pesa aliyomudu kuichimbia kwenye Tigo yake kwa miaka hiyo ya 90 ni zile coin ya shilingi Tano zinye pembe pembe au unaongelea kiasi kipi hicho?
Tafadhali naomba angalia tena kama nimequote thread nzima na uje hapa uniombe radhi,sina ujinga huo tuheshimiane aisee,nimemquote paka wangu tu kuna tatizo na hilo?
ilikuwaje mkuu na hii Kahama yetu????Umenifanya nikumbuke kahama..
NooomaHahahaaha eti nlikojoa bila kulenga tundu huku nkijamba mfululizo bila kujizuia, hahahaaa nimecheka sana
Haaaahaaaa AAA[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Nilichukua toto moja la kariakoo miaka ya 90, kuingia nalo gheto nikachukua funguo nikaweka kwenye mkoba wake.. nikalala kimachale nikaliona limezama kwenye jeans yangu likachukua mpunga wangu sasa balaa funguo haionekani huku na kule basi likachukua zile hela akachimbia kwenye tigo yake akarudi kulala, nikaamka usiku nikaomba game nikapewa asubuhi kumekucha sasa dah balaa maisha haya..........
Ilikuwaje mkuuUmenifanya nikumbuke kahama..