Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,823
We ni mtunzi mzuri sana.Keep it up
Let me feed my eyes..Mtoto mzuri kama HurulainMASIKIO YA KENGE
Kenge huwa hasikii kabisa mpaka pale masikio yake yatakapotoka damu. Na ukiona masikio ya kenge yanatoa damu basi ujue yameanza kusikia.
Kama hujui ni kwamba kusikia kwa kenge ni mpaka pale anapokuwa amepigwa vizuri kichwani kiasi cha kutoa damu masikioni. Hapo utamuona amekuwa mtulivu, msikivu na mwenye adabu. Anakuwa amekufa!
Paka wangu,umesoma yote haki imenshindaWewe ni mwandishi mzuri sana mkuu. Endeleza kipaji chako. Yote uliyoandika ni matukio yanayotokea katika jamii. Binafsi siku zote huwa ninapokutana na msichana wa aina hiyo ambaye simfahamu cha kwanza huwa nakumbuka maandishi ya A. E. Musiba katika vitabu vyake vya Willy Gamba. Mara zote anahusia kuwa wanawake wa aina hiyo ni mtego na hata Gamba mwenyewe ameshanaswa mara nyingi tu. Sasa sijui ni kitu gani kinacho tufanya wanaume tushindwe kubaini mtego huu .

sikuwa nime lock milango ninakumbuka kumuona binti in blur picture akishuka kwenye gari na kuondoka, kushtuka sikua na s6 edge yangu, kiasi cha pesa kati ya 70k - 150k, power bank, Tab yangu surface pro na bahasa zangu zilizokuwa na makaratasi ya tra niliyotoka kulipia kodi nbc corporate...nilikuja kujua ni yule changu anaitwa aisha alilipa vyote ndio akaanza kuuza uchi tena pale kangarooWewe ni mwandishi mzuri sana mkuu. Endeleza kipaji chako. Yote uliyoandika ni matukio yanayotokea katika jamii. Binafsi siku zote huwa ninapokutana na msichana wa aina hiyo ambaye simfahamu cha kwanza huwa nakumbuka maandishi ya A. E. Musiba katika vitabu vyake vya Willy Gamba. Mara zote anahusia kuwa wanawake wa aina hiyo ni mtego na hata Gamba mwenyewe ameshanaswa mara nyingi tu. Sasa sijui ni kitu gani kinacho tufanya wanaume tushindwe kubaini mtego huu .
Ss mzee Likud kule ulikoendaga kusomea uchawi ndo walikwambia uwe una quote uzi mrefu km huu kwel??Let me feed my eyes..Mtoto mzuri kama Hurulain
Eti uliona huwez fika hom bila kufaMimi masikio ye kenge yalinikuta pale Kangaroo baada ya kutoka rhapsody nimelewa nikaona siwezi kufika mbezi makonde bila kufa, bora nikapaki kangaroo lock milango hata nikiamka saa 2 asubuhi hamna shida brevis yangu full tint,sikuwa nime lock milango ninakumbuka kumuona binti in blur picture akishuka kwenye gari na kuondoka, kushtuka sikua na s6 edge yangu, kiasi cha pesa kati ya 70k - 150k, power bank, Tab yangu surface pro na bahasa zangu zilizokuwa na makaratasi ya tra niliyotoka kulipia kodi nbc corporate...nilikuja kujua ni yule changu anaitwa aisha alilipa vyote ndio akaanza kuuza uchi tena pale kangaroo
Kama upo Dar nenda Ubungo bus terminal ndani,vipo pale chini ya ngazi za kutokea kwenye mabasi ya mwendo kasi.Hivi vitabu napata wapi mkuu?
Nimeisoma mpenzi na nilitaka kujua mwisho wake ili niufananishe na maneno ya Willy Gamba. Na nilichotegemea ndicho nilichokikuta.Paka wangu,umesoma yote haki imenshinda
Ha ha mkuu, story yako ina uhalisia wa kutosha, Hotel De mag ya mshkaji wangu sana Denis
Nimeisoma mpenzi na nilitaka kujua mwisho wake ili niufananishe na maneno ya Willy Gamba. Na nilichotegemea ndicho nilichokikuta.
Duh every body at Jf is pushing me to be a witch..Ss mzee Likud kule ulikoendaga kusomea uchawi ndo walikwambia uwe una quote uzi mrefu km huu kwel??