Masikio kutokusikia kwa sababu ya dawa za quinine

Mnyatu

New Member
Dec 23, 2011
4
0
Ndugu zangu Habari! Wataalam naomba tena msaada wenu juu ya tatizo moja ambalo linamkabiri kaka yangu ambaye ana umri wa miaka 40 lakini hivi karibuni aligundulika kuwa ni HIV +. Lakini sasa inakaribia mwezi mmoja toka amekunywa dawa ya Quinine na masikio yake hayasikii kabisa (Yameziba). Sasa ni dawa gani ambayo tunaweza kumpatia ili kuweka sawa hali masikio yake? Msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom