Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Aisee halafu anarudi palepale square 1.....Kuna ukweli sababu ukiwa vijiweni utasikia jamaa wanvyopanga siku wakizipata. Kuna jamaa flani waliuza nyumba ya urithi, wakagawana km 15M hivi walikuwa kama sita. hee kijana si akahamia gesti Sinza mwezi mzima anazitumbua tu na vimwana. hizo ndo ndoto zake na akawa anazitimiza
'Maskini akipata matak.o hulia mbwata'
hivi haka kamsemo kana maanishaga niin
neno gani usilolielewa hapo besti?
msemo owte dhima yake ni nini
maskini akipata husahau shida zake na kujibweteka chini....
nimeelewa sasa.....
sasa hela anazitoa wapi ilhali yeye ni masikini?
Nalog off
kabla haijaundwa mimi teyari naimiliki.ndio mana mulugo kawaundia div. 5 watu kama wewe!