Masikini Vengu wa Original Comedy

Masikini Vengu wa Original Comedy

ni kweli mkuu akina masanja waseme jamaa yuko wapi

halafu huyo jamaa ana utajiri wa kutisha (masanja), na ndiye aliyechangisha zile fedha za kumpeleka Sajuki India, hajachangisha za kumpeleka huyo mwenzao hata south. Nahc kuna uhusiano wa mafanikio ya ze comedy na ugonjwa wa huyo Vengu. "kazi na dawa" kama wenyewe wanavyoigiza mwanzo wa kipindi.
 
Hivi yaweza kuwa kweli eee kwa nini hawataki kuelezea habari. zake mimi nilidhani hatunaye siku nyingi. Kama ndio Wamemgeuza ATM ya kuwamiminia hela halafu wanavaa ngozi ya mwanakondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu mali watapata lakini hawatazitumia
 
Ni kweli #OK . wamekuwa kimya sana kuhusu #vengu sijajua kwa nini last time nawaona akina massanja na wenzake wako vizuri tu na wanazidi kunenepa kuwa matajiri lakini hawatupi updates za mwenzao anaendeleaje na yuko wapi?
kwenye matatizo watz huwa ni waelewa wangeweza kumsaidia....
 
Back
Top Bottom