Masikini Vengu wa Original Comedy

Masikini Vengu wa Original Comedy

Eehe mungu tunamuombea huyu kaka apone mrudishie uhai wake na yeye kwani amrugua muda mrefu sana tunakuomba mungu wewe ndio hakimu wa kila jambo hakuna anaesamehe isipokuwa wewe, wote tukumbuke kuugua ni ibada hatujui siku wala saa au tutaumwa nini mmungu utunusuru.
 
Mhh toka enzi zile? nilijua kafa maskini anateseka hivyo amekosa nini?
 
aisee inasikitisha sana na sijui kwanini taarifa za maendeleo yake zimefanywa siri sana, sijui kuna nini nyuma ya pazia ila kiukweli dogo naskia anaumwa sana yaani kwa muda mrefu yupo hald dead ...Mungu amponye
 
Pole kamanda!na hizi picha ni za lini?
 
Sio kawaida kuna ufundi wa ziada ulitumika na wenzake
 
Masanja atuambie. Mbona mambo yake yako juu ilhali huyu ni mwenzake halafu Masanja ni mutu wa karibu sana na wakinga

Pamoja na hayo,mbona wakiwa kama kikundi kwa nini wasimsaidie jamaa akatoka ktk uchungu huo wa maradhi tunaoushudia,naomba kujuzwa wakuu ni nini hasa kilichomsibu jamaa!?
 
Nikisoma kichwa cha habari napata picha ya tofauti na nachokutana nacho ndani. Sjui kwanini
 
Jamani kuna mtu amedai eti ana virus kichwani ndo wanaomsumbua ila dah inasikitisha sana mungu amponye inshallah
 
Sikumbuki ni mwaka gani lakini niliwahi kumshudia huyu bwana akibebwa kwenye bar moja ipo maeneo ya bunju a shule upande wa kushoto km unatokea tegeta, akiwa chakariii baada ya hapo sikumskia akiigiza tena,bar yenyewe inaitwa kibila ntarudi soon kuwaonyesha photors maana nilikuwepo na mimi siku hiyo!
 
Labda washamtoa kafara,sasa kama Masanja anaombea wengine kwanini asimuombee na huyuuuu
 
Back
Top Bottom