Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,696
- 19,135
Tunagombanishwa sisi kwa sisi.dah!Wanaume tunajua,
Ukiwa na mwanamke ambaye hana malengo na wewe bali yupo Kwa maslahi yake,ni wazi hakupendi.
Ni rahisi mwanamke huyo kujenga na kuunda Mali zake binafsi Kwa majina yake,lakini ni rahisi pia kutokukushirikisha mambo mengi Kwa kimwili mpo wote ila kiroho hayupo na wewe.
Hata watoto huwaita wanangu na siyo wanetu,kila kitu huwa ni chake ila kitu alichotafuta mwanaume ni cha familia nzima na ikitokea mwanaume umetangulia mbele za haki,huna ndugu atatia pua zake
Tuachane na hayo najaribu kuitazama nchi yangu Tanganyika,nchi iliyojipatia Uhuru wake miaka sitini na kitu iliyopita ,lakini baadaye ikatangaza muungano na nchi jirani,ambao mpaka leo Mimi binafsi sioni manufaa ya moja Kwa moja zaidi ya Tanganyika kulazimisha muungano.
Leo hii watoto wetu hawalijui jina Tanganyika zaidi ya kulisoma kwenye vitabu ,lakini jina Zanzibar linajulikana kwani kuna Rais wao,kuna mawaziri wao,na mlolongo wa viongozi karibia wote,ni rais kujiamulia kufanya chochote kile hata sasa.
Tatizo letu watanganyika hatupendani kila mtu anawaza kujineemesha mwenyewe,na tumejawa na chuki Sisi Kwa sisi.si mageni haya yalikuwepo miaka na miaka, kitabu cha mwanzo (Genesis)
Katika biblia tunaona jinsi watoto wa Yakobo walivyomuuza ndugu Yao kisa wivu tu wa kijinga usio na sababu.
Just imagine watoto wa familia moja hawapendani,hii ni hatari sana.
Leo hii
Tundu Lissu yupo magereza,
Padri kitima hajapata ahueni,
Soka haijulikani alipo,
Mdude naye .............
Wapo weeeeeengi ambao hawajulikani wapo kwenye mahabusu zetu.adui wa mtanganyika ni mtanganyika.
Nisameheni jamani nimeamka nazo ni hangover za kufa mtu
Tatizo ni wanaume kuwahonga na kulilia dudu mme wapandisha chati Kila kijana anataka awe na demu hata wa shule ya msingi usipo kuwa na demu eti mshamba vitoto vidogo eti vina watotoWanaume tunajua,
Ukiwa na mwanamke ambaye hana malengo na wewe bali yupo Kwa maslahi yake,ni wazi hakupendi.
Ni rahisi mwanamke huyo kujenga na kuunda Mali zake binafsi Kwa majina yake,lakini ni rahisi pia kutokukushirikisha mambo mengi Kwa kimwili mpo wote ila kiroho hayupo na wewe.
Hata watoto huwaita wanangu na siyo wanetu,kila kitu huwa ni chake ila kitu alichotafuta mwanaume ni cha familia nzima na ikitokea mwanaume umetangulia mbele za haki,huna ndugu atatia pua zake
Tuachane na hayo najaribu kuitazama nchi yangu Tanganyika,nchi iliyojipatia Uhuru wake miaka sitini na kitu iliyopita ,lakini baadaye ikatangaza muungano na nchi jirani,ambao mpaka leo Mimi binafsi sioni manufaa ya moja Kwa moja zaidi ya Tanganyika kulazimisha muungano.
Leo hii watoto wetu hawalijui jina Tanganyika zaidi ya kulisoma kwenye vitabu ,lakini jina Zanzibar linajulikana kwani kuna Rais wao,kuna mawaziri wao,na mlolongo wa viongozi karibia wote,ni rais kujiamulia kufanya chochote kile hata sasa.
Tatizo letu watanganyika hatupendani kila mtu anawaza kujineemesha mwenyewe,na tumejawa na chuki Sisi Kwa sisi.si mageni haya yalikuwepo miaka na miaka, kitabu cha mwanzo (Genesis)
Katika biblia tunaona jinsi watoto wa Yakobo walivyomuuza ndugu Yao kisa wivu tu wa kijinga usio na sababu.
Just imagine watoto wa familia moja hawapendani,hii ni hatari sana.
Leo hii
Tundu Lissu yupo magereza,
Padri kitima hajapata ahueni,
Soka haijulikani alipo,
Mdude naye .............
Wapo weeeeeengi ambao hawajulikani wapo kwenye mahabusu zetu.adui wa mtanganyika ni mtanganyika.
Nisameheni jamani nimeamka nazo ni hangover za kufa mtu
AiseeTatizo letu watanganyika hatupendani kila mtu anawaza kujineemesha mwenyewe,na tumejawa na chuki Sisi Kwa sisi.si mageni haya yalikuwepo miaka na miaka, kitabu cha mwanzo (Genesis)
Katika biblia tunaona jinsi watoto wa Yakobo walivyomuuza ndugu Yao kisa wivu tu wa kijinga usio na sababu.
😀😀😀Kibaya zaidi baba aliyekuwa anaijali nyumba alikufa, hata kama alikuwa mkali kwa sisi tuliyekuwa tunamuita baba mdogo,kabaki mama wa kambo anautawala mji na kina mjombo,cha moto tunakiona
Kizazi hiki ni hovyo kabisaTatizo ni wanaume kuwahonga na kulilia dudu mme wapandisha chati Kila kijana anataka awe na demu hata wa shule ya msingi usipo kuwa na demu eti mshamba vitoto vidogo eti vina watoto
Jamii ya ngono vijana wanatafuta pesa kwaajili ya kumpata mwanamke imefika kwambia mwenyewe dau kubwa ndiye anampata mwanamke
Duh 🙄 !Wanaume tunajua,
Ukiwa na mwanamke ambaye hana malengo na wewe bali yupo Kwa maslahi yake,ni wazi hakupendi.
Ni rahisi mwanamke huyo kujenga na kuunda Mali zake binafsi Kwa majina yake,lakini ni rahisi pia kutokukushirikisha mambo mengi Kwa kimwili mpo wote ila kiroho hayupo na wewe.
Hata watoto huwaita wanangu na siyo wanetu,kila kitu huwa ni chake ila kitu alichotafuta mwanaume ni cha familia nzima na ikitokea mwanaume umetangulia mbele za haki,huna ndugu atatia pua zake
Tuachane na hayo najaribu kuitazama nchi yangu Tanganyika,nchi iliyojipatia Uhuru wake miaka sitini na kitu iliyopita ,lakini baadaye ikatangaza muungano na nchi jirani,ambao mpaka leo Mimi binafsi sioni manufaa ya moja Kwa moja zaidi ya Tanganyika kulazimisha muungano.
Leo hii watoto wetu hawalijui jina Tanganyika zaidi ya kulisoma kwenye vitabu ,lakini jina Zanzibar linajulikana kwani kuna Rais wao,kuna mawaziri wao,na mlolongo wa viongozi karibia wote,ni rais kujiamulia kufanya chochote kile hata sasa.
Tatizo letu watanganyika hatupendani kila mtu anawaza kujineemesha mwenyewe,na tumejawa na chuki Sisi Kwa sisi.si mageni haya yalikuwepo miaka na miaka, kitabu cha mwanzo (Genesis)
Katika biblia tunaona jinsi watoto wa Yakobo walivyomuuza ndugu Yao kisa wivu tu wa kijinga usio na sababu.
Just imagine watoto wa familia moja hawapendani,hii ni hatari sana.
Leo hii
Tundu Lissu yupo magereza,
Padri kitima hajapata ahueni,
Soka haijulikani alipo,
Mdude naye .............
Wapo weeeeeengi ambao hawajulikani wapo kwenye mahabusu zetu.adui wa mtanganyika ni mtanganyika.
Nisameheni jamani nimeamka nazo ni hangover za kufa mtu
Nyerere alituuzaWanaume tunajua,

Mdude naye ...
Wapo weeeeeengi ambao hawajulikani wapo kwenye mahabusu zetu.adui wa mtanganyika ni mtanganyika.
Nisameheni jamani nimeamka nazo ni hangover za kufa mtu
Duu Maza analo limengandaWanaume tunajua,

Nyerere alituuza
Hatari sanaCCM wametuuza Watanganyika utumwani Zanzibar, leo hii askari wa CCM wanateka, wanatesa na kuua Watanganyika wenzao ili Mzanzibari aendelee kuitawala Tanganyika.
Sawa ngoja nitafuteDuh 🙄 !
Pata supu na Pilipili mingi Mkuu 🙏
Hangover itaisha kwa muda 😅👍
We Acha tu mkuuKibaya zaidi baba aliyekuwa anaijali nyumba alikufa, hata kama alikuwa mkali kwa sisi tuliyekuwa tunamuita baba mdogo,kabaki mama wa kambo anautawala mji na kina mjombo,cha moto tunakiona
NDIO MAANA HADI LEO MUNAPOTEZA MUDA KUFANYA HARAKATI BADALA YA SIASA. WAZAMZIBARI WAKO HATUA YA KUFANYA SIASA NA WAMESHATOKA STAGEA YA HARAKATI. UPINZANI WA ZANZIBAR ULISHABAINI KUWA CCM SI ADUI BALI NI MWENZA WA KUWA NAE KARIBU KWA MASLAHI YA NCHI KUPITIA ECONOMICAL POLITICS. LEO CHADEMA YENYE WEREVU WENGI,WAJUAJI WENGI,WASOMI WENGI, WAJUBA WENGI, WANAISHI NA FIKRA MGANDO ( SOLID MIND) YA KUIONA CCM KUWA ADUI NA KUJIAMINISHA KUWA UHARAKATI NDIO UTAIPA CREDIT...COMPLETELY WRONG!!!. CHADEMA HAS MISSTEPPED. TANZANIA NI ILE ILE... CCM NI ILE ILE... WATANZANIA NI WALE WALE NA BI SAMIA NDIE RAIS WA NCHI HII AND CCM IS GOING TO WIN INSHAALLAH.Nyerere alituuza
Wanaume tunajua,
Ukiwa na mwanamke ambaye hana malengo na wewe bali yupo Kwa maslahi yake,ni wazi hakupendi.
Ni rahisi mwanamke huyo kujenga na kuunda Mali zake binafsi Kwa majina yake,lakini ni rahisi pia kutokukushirikisha mambo mengi Kwa kimwili mpo wote ila kiroho hayupo na wewe.
Hata watoto huwaita wanangu na siyo wanetu,kila kitu huwa ni chake ila kitu alichotafuta mwanaume ni cha familia nzima na ikitokea mwanaume umetangulia mbele za haki,huna ndugu atatia pua zake
Tuachane na hayo najaribu kuitazama nchi yangu Tanganyika,nchi iliyojipatia Uhuru wake miaka sitini na kitu iliyopita ,lakini baadaye ikatangaza muungano na nchi jirani,ambao mpaka leo Mimi binafsi sioni manufaa ya moja Kwa moja zaidi ya Tanganyika kulazimisha muungano.
Leo hii watoto wetu hawalijui jina Tanganyika zaidi ya kulisoma kwenye vitabu ,lakini jina Zanzibar linajulikana kwani kuna Rais wao,kuna mawaziri wao,na mlolongo wa viongozi karibia wote,ni rais kujiamulia kufanya chochote kile hata sasa.
Tatizo letu watanganyika hatupendani kila mtu anawaza kujineemesha mwenyewe,na tumejawa na chuki Sisi Kwa sisi.si mageni haya yalikuwepo miaka na miaka, kitabu cha mwanzo (Genesis)
Katika biblia tunaona jinsi watoto wa Yakobo walivyomuuza ndugu Yao kisa wivu tu wa kijinga usio na sababu.
Just imagine watoto wa familia moja hawapendani,hii ni hatari sana.
Leo hii
Tundu Lissu yupo magereza,
Padri kitima hajapata ahueni,
Soka haijulikani alipo,
Mdude naye ...
Wapo weeeeeengi ambao hawajulikani wapo kwenye mahabusu zetu.adui wa mtanganyika ni mtanganyika.
Nisameheni jamani nimeamka nazo ni hangover za kufa mtu
Umesema ukweli mkuu tunapaswa kudai uhuru wa Tanganyika kwa mara ya pili.Wanaume tunajua,

Mie juzi tu nemtaja jina Tanganyika humu, wenzangu wengi wakanishangaa na kuniita mie mbagauzi. Wanaonishangaa ni Wa-Tanganyika wenzangu. Sasa, namna hiyo kuna siku itafika tutajitambua sisi ni akina nani?Wanaume tunajua,