Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,055
- 16,904
Wanaume tunajua,
Ukiwa na mwanamke ambaye hana malengo na wewe bali yupo Kwa maslahi yake,ni wazi hakupendi.
Ni rahisi mwanamke huyo kujenga na kuunda Mali zake binafsi Kwa majina yake,lakini ni rahisi pia kutokukushirikisha mambo mengi Kwa kimwili mpo wote ila kiroho hayupo na wewe.
Hata watoto huwaita wanangu na siyo wanetu,kila kitu huwa ni chake ila kitu alichotafuta mwanaume ni cha familia nzima na ikitokea mwanaume umetangulia mbele za haki,huna ndugu atatia pua zake
Tuachane na hayo najaribu kuitazama nchi yangu Tanganyika,nchi iliyojipatia Uhuru wake miaka sitini na kitu iliyopita ,lakini baadaye ikatangaza muungano na nchi jirani,ambao mpaka leo Mimi binafsi sioni manufaa ya moja Kwa moja zaidi ya Tanganyika kulazimisha muungano.
Leo hii watoto wetu hawalijui jina Tanganyika zaidi ya kulisoma kwenye vitabu ,lakini jina Zanzibar linajulikana kwani kuna Rais wao,kuna mawaziri wao,na mlolongo wa viongozi karibia wote,ni rais kujiamulia kufanya chochote kile hata sasa.
Tatizo letu watanganyika hatupendani kila mtu anawaza kujineemesha mwenyewe,na tumejawa na chuki Sisi Kwa sisi.si mageni haya yalikuwepo miaka na miaka, kitabu cha mwanzo (Genesis)
Katika biblia tunaona jinsi watoto wa Yakobo walivyomuuza ndugu Yao kisa wivu tu wa kijinga usio na sababu.
Just imagine watoto wa familia moja hawapendani,hii ni hatari sana.
Leo hii
Tundu Lissu yupo magereza,
Padri kitima hajapata ahueni,
Soka haijulikani alipo,
Mdude naye ...
Wapo weeeeeengi ambao hawajulikani wapo kwenye mahabusu zetu.adui wa mtanganyika ni mtanganyika.
Nisameheni jamani nimeamka nazo ni hangover za kufa mtu