Hao watumishi wanaoteseka ni watanzania wenzetu na familia zao wakati Manji hawezi lala na njaa. Tunahitaji kupimwa akili zetu hizi za chukiSaaaaafi na mbado
Watu wengine sidhani kama wanafikiriaga kwa kutumia ubongoHao watumishi wanaoteseka ni watanzania wenzetu na familia zao wakati Manji hawezi lala na njaa. Tunahitaji kupimwa akili zetu hizi za chuki
Unafurahia?!! Ww umenufaika vp na Hali ya kumdhoofisha Manji?Saaaaafi na mbado
Arudi India, hicho kipeperushi si ndio kilikuwa kimeanza kampeni ya kupambana na Makonda - Ndo yale yale ya WanaCUF wa DW kutaka kupambana na Magufuli wakati matangazo yao wanategemea kuyarusha kupitia Radio Free, na kilichotokea matangazo yao siku hizi yanakata kata sana hayana ladha, mwishowe hata hao mabosi wa DW Watawashtukia na vibarua vyao vitaota nyasi - Mimi ninachompendea Magufuli siyo mnafiki kabisa, Ukipambana naye, ni lazima naye atapambana nawe back "Battle - battle"Akaunti zake zote zimefungwa
Mchapishaji wa Magazeti JAMANA PRINTERS kapigwa marufuku kuchapa gazeti la Jambo Leo.
Gazeti halijaingia mtaani siku ya nne sasa.
Watumishi wamekosa mishahara, waandishi wanahaha.
Kwa ujumla Quality Group ni kama imesimamisha shughuli zake
chanzo: watumishi wa QG
YeahArudi India, hicho kipeperushi si ndio kilikuwa kimeanza kampeni ya kupambana na Makonda - Ndo yale yale ya WanaCUF wa DW kutaka kupambana na Magufuli wakati matangazo yao wanategemea kuyarusha kupitia Radio Free, na kilichotokea matangazo yao siku hizi yanakata kata sana hayana ladha, mwishowe hata hao mabosi wa DW Watawashtukia na vibarua vyao vitaota nyasi - Mimi ninachompendea Magufuli siyo mnafiki kabisa, Ukipambana naye, ni lazima naye atapambana nawe back "Battle - battle"
We unafikiria kwa kutumia nn?Watu wengine sidhani kama wanafikiriaga kwa kutumia ubongo
Maskini bwana.Saaaaafi na mbado
Yawezekana akawa mhindi kwa rangi na kabila lakini kwa uzalendo wewe ukawa ni wale ambao hata hujaweza saidia hata mama au mdogo wako. Huwezi kuwa mbaguzi halafu ukadai haki toka kwa watu wengine. Jitambue kwanza ndo uanze kuchunguza na kukosoa wengine. Wewe hujitambui au inawezekana ramani yako inaishia hapo ulipo hujavuka mpaka hata wa kijiji.Arudi India, hicho kipeperushi si ndio kilikuwa kimeanza kampeni ya kupambana na Makonda - Ndo yale yale ya WanaCUF wa DW kutaka kupambana na Magufuli wakati matangazo yao wanategemea kuyarusha kupitia Radio Free, na kilichotokea matangazo yao siku hizi yanakata kata sana hayana ladha, mwishowe hata hao mabosi wa DW Watawashtukia na vibarua vyao vitaota nyasi - Mimi ninachompendea Magufuli siyo mnafiki kabisa, Ukipambana naye, ni lazima naye atapambana nawe back "Battle - battle"