assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Waende tu, tuzalisha matajiri wengine.Kenya wanamtaka ahamishie uwekezaji wake kule...ingekuwa Mimi chapu ngetua Nairobi chyaa.
Wenzetu wameanza kusajili matajiri waliopo bongo wanaochoshwa nasystem. Mara bahresa,dewji,mengi nk.wengine wanadai watarudi after 9 years...nchi ya viwanda
Ndani selo ipi!Mpaka muda huu yupo sero, bongo sio ulaya uende Na lawyer 9, uzani watakusaidia.
kuna Sheria,halafu kuna haki sometimes vinakaa mbalimbali.
next time jifunze kuwa saivi kuna mhimili umejichimbia sana chini.
Kwani wao Kny ndio wanataka watu wenye manukato ya unga unga? MmmhWaende tu, tuzalisha matajiri wengine.
Hizi habari uchochoro mnazitoa wapi? Hivi unajua kinachoendelea kweli wewe ??Mpaka muda huu yupo sero, bongo sio ulaya uende Na lawyer 9, uzani watakusaidia.
kuna Sheria,halafu kuna haki sometimes vinakaa mbalimbali.
next time jifunze kuwa saivi kuna mhimili umejichimbia sana chini.
Kuna dhulma tu... yeye ni mhindi ni rahisi kuchafuliwa na isiwe kitu. ..hasa kwa sasa muhimili huu unavo wanyanyapaa waislam na wapinzani...Mpaka muda huu yupo sero, bongo sio ulaya uende Na lawyer 9, uzani watakusaidia.
kuna Sheria,halafu kuna haki sometimes vinakaa mbalimbali.
next time jifunze kuwa saivi kuna mhimili umejichimbia sana chini.
Waende tuibuke wapya waachie fursaKenya wanamtaka ahamishie na uwekezaji wake kule...ingekuwa Mimi chapu ngetua Nairobi chyaa.
Wenzetu wameanza kusajili matajiri waliopo bongo wanaochoshwa nasystem. Mara bahresa,dewji,mengi nk.wengine wanadai watarudi after 9 years...nchi ya viwanda
Unafikiri ni rahisi Kujenga himaya?Kenya wanamtaka ahamishie na uwekezaji wake kule...ingekuwa Mimi chapu ngetua Nairobi chyaa.
Wenzetu wameanza kusajili matajiri waliopo bongo wanaochoshwa nasystem. Mara bahresa,dewji,mengi nk.wengine wanadai watarudi after 9 years...nchi ya viwanda
Mwenye majibu Ya hili swali ni kamanda Siro SimoniMna uhakika yupo ndani???