Masikini Mange Kimambi

Ndo maana akiongea anataka kulia anajua kitakacho tokea
 
Kawaida ya weak ass man like you , na acha kutumia mashoga ili uonekane mwanaume lijali kumbe soft ass tuu ambaye ukisikia maandamano unajificha uvunguni , wanaume wa kweli wanatetea wanaonewa kwenye jamii , sina shida na mashoga na sina chuki nao na nitaendelea kuwatetea, haki ni haki haijali kabila, rangi, ushoga, Taifa, umaskini etc
 
Mazafaka unatumia ChatGPT iliyogunduliwa na kumilikiwa na mashoga to summarize pumba zako ili uonekane una akili, acha ujinga
 
Sikujua kumbe wewe ni kei?
 
mange yupo sawa ila changamoto, anaowapambania
 
Itoshe tu kusema :"Mkaa wa mawe" wewe ni Nishati bora, safi na nzuri ya kupikia ya Mama Samia
 

Kwani ya kwako ni kutamani tu maandamano yawepo huku wewe ukiwa wapi? Loooh!
 
Mange amepambana sana kutuhabarisha mambo mbalimbali haswa mambo ya ufisadi uliopitiliza kwenye hii nchi, lakini watanzania uoga haujatutoka bado.

Juhudi za Mange ni sawa na bure.
Mange mwenyewe sasa, huku anawahamsisha muamdamane, yeye California anauza uchi
 
Hii ni vita, usipotoka bado kina Fwele watakuja kukuteka, kabla ya kuua wana kufir@@ kwanza. Bora utoke kama kufa ufe ukisaka haki ya vizazi vijavyo, usijiangalie wewe ( angalia walio nyuma yako )

Seran mda wetu umefika boss wangu
 
Baada ya kesho Mange atatukana sana. Mange hana uhalali wa kuamrisha watu waandamane. Itakuwa utaahira kukubali kushiriki maandamano yanayoratibiwa na Mange kwa kushirikiana na Maria, Aunty Lulu na mwanaume aliyebadili jinsia Dayon Monsoh.
 
Wewe ni jamaa yangu humu JF nakukubali sana ila umejaa waswasi na hofu sana aisee. Hakuna aliye salama. Jiangalie kwenye kioo na ujiulize siku wafiraji, wabakaji wakikuchukua au kumchukua mtu wa karibu yako utakaa kimya tu au utapambana hadi tone lako la mwisho la damu?

Kama ukiogopa na kujawa na hofu basi utambue tumekubali kufirwa na kufanyiwa ukatili.
 
Kwahiyo ukikaa kimya ndo hutekwi wala hufi?
Hii nchi tuna matahira wengi pity 😥
 
Baada ya kesho Mange atatukana sana. Mange hana uhalali wa kuamrisha watu waandamane. Itakuwa utaahira kukubali kushiriki maandamano yanayoratibiwa na Mange kwa kushirikiana na Maria, Aunty Lulu na mwanaume aliyebadili jinsia Dayon Monsoh.
Hawa hapa;-

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…