Sijakwambia jibu lako ndio jibu langu, haiwezi kua hata siku moja wewe ushatosheka huumii na chochote wewe sio mimi usijilinganishe na mimi na usinichimbe sana kutaka kujua kipi nakifurahia zaidi kati ya uhai na kifo yaan nataka kufa au nataka kuishi unauliza maswali gani hayo? Ili upate nini nikikwambia nataka kufa utaniua wewe au utatuma kikosi kije kiniue? Usiniwekee majibu yako mdomoni kwanguNa wewe ukasema jibu langu ni sawa na lako, kwamba hautaki kufa.
+ Mwe..huAisee
Sijui nitakufaje, bali naepuka aina ya kifo iliyo wazi. Kuna tofauti hapo. Kama mimi ni kiazi basi ni bora kuliko kuwa kama wewe ambaye unachagua aina ya kifo badala ya kuepuka. Kutokujiepusha ikiwa unajua hauna uwezo wa kumpiga adui ni zaidi ya upumbavu.Hongera kwa kujua utakufaje. Wewe ni bonge la kiazi. Kumbe hujui unaweza ku play low key na ukafa mapema tu! Tena kwa kifo cha aibu
Hutaki kuulizwa maswali wakati huohuo wewe ni wa kwanza kuuuliza wengine, ikiwemo mimi. Hiyo inaitwa double standards na kuwa hypocrite.Sijakwambia jibu lako ndio jibu langu, haiwezi kua hata siku moja wewe ushatosheka huumii na chochote wewe sio mimi usijilinganishe na mimi na usinichimbe sana kutaka kujua kipi nakifurahia zaidi kati ya uhai na kifo yaan nataka kufa au nataka kuishi unauliza maswali gani hayo? Ili upate nini nikikwambia nataka kufa utaniua wewe au utatuma kikosi kije kiniue? Usiniwekee majibu yako mdomoni kwangu
Ngoja niachane na upuuzi wako usio na tija yoyote kwanguNaona unaanza kuona uhalisia.
Matusi mengi sana, ni dalili ya kutumia hisia badala ya akili. Kuna uoga ambao ni hisia na kuwa makini au caution ambayo ni matumizi ya akili. Kwa maneno yako nina uhakika wewe ni muoga kupitiliza.Watu kama wewe mkipigwa madole ya matakoni na kuchukuliwa wake zenu na hao wanasiasa njaa labda mtaamka kidogo, sio lazima uandamane lakini uwoga mpaka aibu
Good, unaogopa uhalisa. Hakuna unachokifanya sasa hivi humu JF kina tija zaidi ya kupoteza muda. Nadhani mpaka sasa umeona nani ni mwenye akili na mkurupukaji.Ngoja niachane na upuuzi wako usio na tija yoyote kwangu
Meza Zyprexa zako ulaleIkiwemo kufa kwa ajili ya mabadiliko.
Ah yes, Zyprexa, ndio leo nimezisikia kwako, lazima utakuwa na experience nazo ya kutosha. Nimefanya research yake right now.Meza Zyprexa zako ulale
Kwa sababu hata wewe mtoa Uzi inaonyesha kuwa haupo tiyari hivyo mange Hana hasara kafanya nafasi yake.Ngoja tuone itakavyokuwa
Ujinga tuu๐ฉ๐คฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎMatusi mengi sana, ni dalili ya kutumia hisia badala ya akili. Kuna uoga ambao ni hisia na kuwa makini au caution ambayo ni matumizi ya akili. Kwa maneno yako nina uhakika wewe ni muoga kupitiliza.
Mwanasiasa ni mtu mmoja na unadeal naye individually, Serikali ni taasisi. Jua kutofautisha. Na ndio maana nimesema negative impact ya serikali kwangu kama individual na majority ya average citizens ni beyond negligible.
Je wewe uko tayari kuumia, kufa au kupoteza kila ulichonacho leo ili kuleta mabadiliko?
Wabongo wanazingua sana.Kwa sababu hata wewe mtoa Uzi inaonyesha kuwa haupo tiyari hivyo mange Hana hasara kafanya nafasi yake.
Shida ya wabongo ndo kama hivi hatuna umoja kabisa hapa umekuja kuvunja moyo watu na kuwauzia uoga badala ya kusimama pamoja na kuuziana ujasiri Kwa bei yoyote Ile wewe unakuja kinyume hapo ndo umoja unatoweka
Umenena vyema mkuu.Kitu hauelewi ni kuwa mishe hizi ni hadi pale wananchi watapata wanachodai. Siyo 29/10. Isipowezekana 29/10 itawezekana tarehe nyengine.
๐๐๐๐๐๐+ Mwe..hu
Muda alioutumia.Sasa hata tusipoandamana Mange atapata hasara gani?
Yupo zake kwenye nchi za Mungu, sisi tupo huku kulipolaaniwa
Watu wengi wapo tayari, mtaani watu hawaropoki kama wataandamana lakini ndugu zetu wa karibu wanaotuamini wanasema watakiwasha.Muda alioutumia.
Natamani wananchi tufanye kweli, isiwe mbwe mbwe za mitandaoni.
Binafsi nipo tayari.
Iwe hivyo.Watu wengi wapo tayari, mtaani watu hawaropoki kama wataandamana lakini ndugu zetu wa karibu wanaotuamini wanasema watakiwasha.
Yaani unaona ni aibu mtu kukataa kufa kizembe kwa sababu za kipumbavu? No wonder maisha yako ni kufwata mkumbo bila kujiuliza.Ujinga tuu๐ฉ๐คฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ