Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,122
- 34,265
Unauza uoga bei gani?lakini watanzania uoga haujatutoka bado.
Utafanyaje sasa?Kama ni huruma wahurumie watanzania. Mangi sio maskini kama wengi waliopo nchini. Yeye ni mtanzania anayechukuzwa na haya yanayotokea na kuendelea hapa nchini.
Kama wewe unafurahishwa na hali tulionayo hongera lakini kwa vyovyote iwavyo lazima tubadilishe hii hali
Hakuna atakaye andamana nakuhakikishiaUnauza uoga bei gani?
Uoga unauza bei gani? Wewe na yule aliesema hautokufa mara mbili, mnatofauti gani?Hakuna atakaye andamana nakuhakikishia
ChaiSubiri uone huo moto…nakuhakikishia hicho kimbunga kinachokuja sio cha nchi hii….JWTZ wakichelewa tu kidgo Tanzania yote itakuwa majivu…Mark my words.
Wote mimi na wewe tunajukumu la kutoka na kuwainua wengine. Hakuna aliye salama ni vile tuu hujaingia kwenye rada zao.Utafanyaje sasa?
Unajijambia mashuzi tu hapa bado siku 0 muda ushaisha, uoga kawauzie familia yako hukoChai
Usibadilishe ID tu….jiandae kuona ⛽️ na ammonium nitrateChai
Nakuona muuza Uoga umekuja kutuuzia uogaMtanzania average ambaye ni part of the majority asiyejua kesho anakula atajiona na atakuwa ni mpuuzi mkubwa duniani kwa kusikiliza maneno ya kidada kinacholia kitanda size ya chumba chake, kinakula na kulala hoteli zenye bei kuzidi budget yake ya mwaka mzima. Kwamba atoke akaandamane, ahatarishe afya na maisha yake kisa kidada hicho kimesema hivyo.
Ngoja tuone itakavyokuwaWote mimi na wewe tunajukumu la kutoka na kuwainua wengine. Hakuna aliye salama ni vile tuu hujaingia kwenye rada zao.
Kuna sheria na taratibu lakini hazifuatwi. Unashtukia gari haina namba imekukwapua sasa hatuwezi kwenda kwa namba hiyo lazima tuseme hapana kwa sauti moja. Ukinyamaza maana yake umewaunga mkono
Wewe ni mpuuzi.Mtanzania average ambaye ni part of the majority asiyejua kesho anakula nini. Atajiona na atakuwa ni mpuuzi mkubwa duniani kwa kusikiliza maneno ya kidada kinacholia kitanda size ya chumba chake, kinakula na kulala hoteli zenye bei kuzidi budget yake ya mwaka mzima. Kwamba atoke akaandamane, ahatarishe afya na maisha yake kisa kidada hicho kutoka mtandaoni kimesema hivyo.
Wewe unaona ni sawa vile wanavyofanya ni sahihi kabisa?Ngoja tuone itakavyokuwa
Hakuna ambaye hayupo kwenye hatari ni vile hujaingia kwenye kumi na nane za wahuni. Yule Niffer ameposti kama kichekesho wakamteka.Mtanzania average ambaye ni part of the majority asiyejua kesho anakula nini. Atajiona na atakuwa ni mpuuzi mkubwa duniani kwa kusikiliza maneno ya kidada kinacholia kitanda size ya chumba chake, kinakula na kulala hoteli zenye bei kuzidi budget yake ya mwaka mzima. Kwamba atoke akaandamane, ahatarishe afya na maisha yake kisa kidada hicho kutoka mtandaoni kimesema hivyo.
Wababe wameshaamua.Wewe unaona ni sawa vile wanavyofanya ni sahihi kabisa?
JW hamna kitu hao ulimi mbili maamuzi ni wananchi wenye nchi ni wananchi sio kikundi fulani cha wanasiasa na magenge yao ya watekaji na wauajiWababe wameshaamua.
Sisi raia tutafanyaje?
Msaada pekee ni JWTZ