Am I exceptional? Lakini bado naona hata haya kuwa CCM. Asante lakini Mkuu
Mzee Tupatupa
Kuvuta bangi nadhani siyo jamno zuri haya ndiyo matokeo yake ya kuandika vitu vya ajabu kama mwana kapotea.
Huyu mtu ni Simiyu Yetu itakuwa ana mental disorder
Ukifuatilia post zake ni pumba tupu na ukimjibu ni kupoteza muda tu
Anadhalilisha watu Simiyu huyu kwa arguments zisizo na kichwa wala miguu
Watu wa Jukwaa la Afya mpeni ushauri huyu mtu case yake inazidi kuwa worse siku hafi siku
Wale wa jukwaa la magwiji wa Technical hebu tuoen IP adress yake na details nyingine tumfungie kazi
Kutwa anashinda akidandia thread za watu kwa kejeli hebu aanzishe zake kama kuna mtu atachangia
Am I exceptional? Lakini bado naona hata haya kuwa CCM. Asante lakini Mkuu
Mzee Tupatupa
ndio maana Kila mkuu wa Nchi ana "Washauri"
Ni vigumu sana kuongoza kila kitu peke yako
ndio maana kuna watu wa kumsaidia.
Uzi umevamiwa na panya road wa Lumumba B7FC,ona Simiyu yetu anapojibu kwa hasira utafikiri yeye ndio Kikwete....
Mkuu pamoja na yote mimi ni kada mzoefu nineyependa kuhoji mantiki ya kila tukio kisiasa, ili tupate uelewa wa kule tunakoelekea.Salute mkuu,short and clear answer!Hawa Lumumba FC huwa wanachekesha sana,na ukijuwa huwa hawana la maana la kuchangia ni kuona wanavyojikakamua kujaza thread kwa majibu mepesi mepesi.Should we believe wanalipwa kwa number za post na sio katika umakini wa hicho wanachokipost? Ofcourse with exceptional ya masopakyindi lusungo na VUTA-NKUVUTE
Kwa hiyo wataka kutuambia huyu wa sasa kuna matatu:
1.Hana washauri wazuri.
2.Hashauriki.
3.Anategemea ushauri wa FIRST LADYna FIRST BOY
Jk atabaki kuwa kiongozi shupavu na mpenda maendeleo ukisema kuhusu jk watu kama hawa utawaambia nini.
View attachment 216327
Masikini Kikwete...!View attachment 216324
...Chama Chamfia Mikononi...need I say more?
Bado gesi Mtwara, Simba trust na...duh! kaazi kweli kweli!
Wajinga wengi sana nchi hii umeacha kulala umeandika ujinga wako utadhani umefanya kazi ya maana mno.
Si vyema kukejeli kila amachofanya Rais. Yapo Mazuri ameyafanya mengi tu
Kwa hiyo wataka kutuambia huyu wa sasa kuna matatu:
1.Hana washauri wazuri.
2.Hashauriki.
3.Anategemea ushauri wa FIRST LADYna FIRST BOY
Huyu ndiyo kiongozi wa kweli anashiriki na watu safi sana kinana.