Masikini Kikwete! Chama Chamfia Mikononi!

Masikini Kikwete! Chama Chamfia Mikononi!

Mag3

Platinum Member
Joined
May 31, 2008
Posts
13,580
Reaction score
23,914
Masikini Kikwete...!

masikini-kikwete-chama-chamfia-mikononi.784264

attachment.php

...Chama Chamfia Mikononi...need I say more?
Bado gesi Mtwara, Simba trust na...duh! kaazi kweli kweli!

Chezea jitu lililokulia town weyeeeeeeeee. Mliingia mjini na matongotongo tukawafundisha kunawa uso ati leo unataka kutufundisha kunawa uso. Masai arudi akachunge ng'ombe na Mpemba arudi akauze mishikaki na urojo. Hatusikii loloooooote tena sasa hivi kawaachia nchi yenu salama muikoroge wenyewe.
 
Attachments

  • CCMmahututi!.jpg
    CCMmahututi!.jpg
    34.2 KB · Views: 23,466
...

machalii wa Dar hii kitu raycii chulamila mngee gegegeda na kazaigoti kaka ona juwa liltoto lizuri kama hilli eti linakula bunga yaaani hata maparachihi KA !!

Rayc+Kikwete2.JPG
 
Si vyema kukejeli kila amachofanya Rais. Yapo Mazuri ameyafanya mengi tu
 
Kuvuta bangi nadhani siyo jamno zuri haya ndiyo matokeo yake ya kuandika vitu vya ajabu kama mwana kapotea.
 
Ndio maana alitakiwa aunde serikali ya watu
Makini, waaminifu , wachapa kazi, wasiopenda rushwa,
Wazalendo, wenye uchungu wa maendeleo,wanao mthamini
yeye JK kama mkuu wao.

watu ambao wako hapo kumsaidia yeye asielimewe na haya yote.

sasa yeye amechagua mabua ndio maana yuko kwenye hali hii.

Depression na Stress nyingine kajitafutia mwenyewe.
 
Wajinga wengi sana nchi hii umeacha kulala umeandika ujinga wako utadhani umefanya kazi ya maana mno.
 
Enzi ya mkoloni kuna makabila yalikuwa hayatoi ma province/district commissioners or uongozi wa aina fulani. Bali garden boys, cooks, butlers, udereva na the like. Prove me wrong.
Akili za kitumwa hizi, mpuuz sana wewe!!!
 
Ndio maana alitakiwa aunde serikali ya watu
Makini, waaminifu , wachapa kazi, wasiopenda rushwa,
Wazalendo, wenye uchungu wa maendeleo,wanao mthamini
yeye JK kama mkuu wao.

watu ambao wako hapo kumsaidia yeye asielimewe na haya yote.

sasa yeye amechagua mabua ndio maana yuko kwenye hali hii.

Depression na Stress nyingine kajitafutia mwenyewe.
Mtu kama wewe ni wa kupuuzwa jk ni mpenda watu na maendeleo basi ona hawa watu wanavyomtumaini yeye.
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    59.2 KB · Views: 1,054
  • image.jpg
    image.jpg
    57.1 KB · Views: 949
Back
Top Bottom