instagramboy
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 1,521
- 346
Huyo mwanamke anataka wafe wote au ni nn sasa hicho atleast watumie kinga ili angalau mmoja apone!!ingawa ngumu kumeza
hawezi kufanya hivyo na uhakika na mambo mengi yanaenda kinyume naye .. so kuishi pamoja ni ngumu...Me hapo nakuachia ww,wanaume wanambinu nyingi sana za kutongoza,huenda amekueleza yote hayo ili umuonee huruma pengine baada ya kujaribu mbinu za kawaida zikafail. Au umemuonjesha akanogewa,anatafuta njia ya kumuacha mkewe aambatane na miss chagga km issue ingekuwa ya kifamilia yaani ungekuwa pia na maelezo ya wifi yako,ningetoa ushauri ili ukawaambie!
hataki ndomaje kwangu huyo dada ntapga na ndom,naomba namba yake tafadhari naugwadu ile mbaya
ni funzo kwa kweliAkome kuzini kabla ya kupima VVU. Na hili liwe fundisho kwa ambao hawajaingia katika ndoa. Wasichepuke kupima kama wanataka kuepuka virusi vya ukimwi.
kama wanaruhusiwa sawa tu aisee
sawa mkuuuNi ngumu sana kukutana kimwili na mtu ambaye ana VVU wakati we huna hata kama kuna condom bado haiingii akilini.
Amtunze na kumpatia mahitaji lakini namshauri aachane naye kwani huyo bibie ana nia ya kumwambukiza UKIMWI kimakusudi kabisa.
namna ya kulishinda ndiyo tunaomba msaada rafiki yangu kawa kama chizi ni analalamika maisha yake kaharibu
walishauriwa na moja ya njia ni kutumia kinga binti hataki hilo swala la kinga anasema ni dhambi
aisee kazi kweli kweliHuyo mwanamke si mtu mwema hata kidogo pia ana nia mbaya na mumewe kwani daktari amewashauri nini wafanye kwa afya ya ndoa,mi naona MUME awe mbali na huyo mwanamke kwani si mtu mwema!!
nb:Kabla haikuwa dhambi baada ya ndoa imekuwa dhambi"
Nilivyo fyoko fyoko nikauliza vipi mlianza kuzini kabla ya ndoa na mlikuwa mnatumia Condom? akaijbu ndiyo ili kuzuia mimba kwa hiyo walivyofunga ndoa tu wakaanza kunjunjana bila Condom bila hata kujua afya ya kila mmoja.
"
asante binamuNdoa inatakiwa ivunjike hiyo. Mengine ni porojo.
shemeji hayupo jf labda nije mimi unipe hiyo dawa nimpelekeeShemeji Mwambie Huyo Dada Ani PM au Nitumie Namba Yake Kule Ktk PM Ili Nimtwangie Na Kuna Dawa Nzuri Tu Nitamwagia Na Atapona.
kwa nini ang`ang'anie?mwanamke muathirika in the first place,probability kubwa kapata maambukizi either kwa kuchepuka ama ngono zembe before marriage.Ina maana hajatambua kama ana kosa?Inampasa ashuke,awe mdogo kama piritoni?..Unafahamu kuwa anaweza kufunguliwa mashataka ya kuambukiza VVU kwa makusudi?...
Umeondoa kabisa uwezekano wa kwamba yawezekana binti kaupata huo ugonjwa kwa njia nyingine?? Ni ujinga na upofu kufikiria kwamba kukutana nyumba ya ibada kunamaanisha kwamba mwenzio hatendi dhambi. Hakuna mwanaadamu ambaye hakosei hata iweje wakosaji weny kujitambua humrudia muumba wao haraka. Hivyo tahadhari ni kila wakati. Kwa uoga alokuwa nao huyo mwanaume sidhani hata kama wakilala ngozi kwa ngozi kama kweli mashine itasimama. anahitaji kufanyiwa ushauri nasaha wa nguvu kabla hajarudi hali yake ya kawaida.
sawa mamy nitamwambiani ngumu kumeza na kukubali hiki kitu jamni mnaosema aendelee kufanyanae tendo la ndoa unafikiri inawezekanaje
Tendo la ndoa linaanzia kichwani kwa maana ya kuwa mtu unatakiwa uwe upo sawa kihisia na kifikra
Hata dushe sidhani kama itasimama kweli maana woga utakuwa umetawala hofu ya kifo maana anaona anafanya hicho kitu na mwathirika kwa kujua kabisa miss chagga mwambie kaka yako atulie aongee na mkewe kwa utulivu huku akimweleza kuwa kuathirika sio mwisho wa maisha
asante mkuuNishawahi shuhudia Ndoa ya namna hiyo, tena wao walipata mtoto ambaye alifariki akiwa na miaka miwili kwa magonjwa nyemelezi na miaka mitatu iliyofuata mke akafariki, mume haku athirika ila kipindi mtoto anaumwa walienda kupima iligundulika mama na mtoto wameathirika wakati baba hana virusi, Cha muhimu waende kwenye kituo cha ushauri nasaha kuna wataalam wa saikolojia ya jinsi ya kuishi na mke au mume alie athirika.