Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,854
Habari wanajf,
Hivi Maskini jeuri yupoje?
Maana najua hadi uwe jeuri kuna kitu unacho kama Mguu wa kuku na pesa, sasa Maskini jeuri upo ama ni maneno tu.