The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,540
Mkuu, Usinikumbushe miye mambo ya Enzi hizo!
Wakazidi kumchimba, Baba mwenye homakali
Baba yetu watufumba, Fumbo hili la akili
Akili yetu nyembamba, haijajua methali.
mkuu ninapicha za msafara wa lowasa ukizomewa na wakazi wa kikatiti hakika leo ccm imevuna aibu hapa arumeru...nitazirusha nikifika kwenye pc...wameru wasema hawataki mafisadi
na kweli jf ni kisima cha great thinkers.mzee mzima nimerudi utotoni leo
baba asiye kifani,
akajibu lile swali,
ninakufa maskini,
baba yenu sina mali,
neno moja lishikeni,
nami nawapa kauli,
kama mnataka mali,
mtaipata shambani.
Watoto wake wakaja, Ili kumtaka haliMkuu, Usinikumbushe miye mambo ya Enzi hizo!
Wakazidi kumchimba, Baba mwenye homakali
Baba yetu watufumba, Fumbo hili la akili
Akili yetu nyembamba, haijajua methali.
Anamaanisha hakuna aibu kubwa nyingine anaweza kupata inayoiizidi hii ya leo.....Mwaka gani mkuu unaoufunga maana ndo kwanza tupo march!
urithi tunatamani mali yetu ya halali sema ipo wapi mali tukaifate shambani
Anamaanisha hakuna aibu kubwa nyingine anaweza kupata inayoiizidi hii ya leo.....
Umeleewa?
ana mpango wa kujenga makaburi.Hajaongelea bomu la ajira kwa vijana? manake hana jipya siku hizi
picha plz!
muda bado Kampeni ni saa 10:00 jioni wacha watu wapange viti kwanza, ingawa si halali kumkampenia mkwe wake lakini kwa CCM watajaa tu
weka picha tuone hizo za saa hizi 1:39
Duh!! We wasira atakufaa zaidi kama suala ni kuuza sura tu,kwani itakuwa hata kwwenye uwanja wa seremala ukitaka game jamaa yeye anakoroma hapohapo ukimweka kwenye V!!!
Wakapata na vikombe, mavazi na baiskeli,Watoto wake wakaja, Ili kumtaka hali
Wakataka na kauli, Iwafae maishani
Akatamka mgonjwa, Ninaumwa kwelikweli
Hata kama nikichanjwa, Haitoki homa kali
Roho naona yatoka Kifo kimenikabili
Kama mnataka mali, Mtayapata shambani.
Kwanza shirikianeni, Fanyeni kazi kindugu
Kama mnataka mali, Mtayapata shambani
Aibu ya kujitakia utu-Uzimani!
Mwenye nchi mwenyewe Ba-Mwanaasha kagwaya...Kaja jana Arusha kwa kuingia Usiku, na saa 5 LEO kajiondokea zake kimya kimya kurudi Dar!...Watchdogs wake weshampa Live kuwa asithubutu kukanyaga Arumeru, maana washanusa hali halisi!...Yeye anajifanya shababi...Poooof!
Watoto wake wakaja, Ili kumtaka hali
Wakataka na kauli, Iwafae maishani
Akatamka mgonjwa, Ninaumwa kwelikweli
Hata kama nikichanjwa, Haitoki homa kali
Roho naona yatoka Kifo kimenikabili
Kama mnataka mali, Mtayapata shambani.
Kwanza shirikianeni, Fanyeni kazi kindugu
Kama mnataka mali, Mtayapata shambani