Aibu ya kujitakia utu-Uzimani!Edward Ngoyai Lowassa,amepata aibu ya kufungia Mwaka pamoja nguvu yote ilotumika kumuandalia mkutano jamaa kapata watu kiduchu kuliko hata mkutano wa AFP!!! Jamaa anatia huruma sana san!!!a n
Haitatokea aibu kubwa kuliko hii baada ya maandalizi yote na gharama kubwa zilizotumika!! Naapa hii itafunga mwaka huu!Mwaka gani mkuu unaoufunga maana ndo kwanza tupo march!
Haitatokea aibu kubwa kuliko hii baada ya maandalizi yote na gharama kubwa zilizotumika!! Naapa hii itafunga mwaka huu!
Mkuu, Usinikumbushe miye mambo ya Enzi hizo!Roho ya lowasa inachinjwa, kifo kinamkabili, kama wanataka kauli waseme aseme nini?
Haya miye Kibela napaa Thamaki
Leiguanan kaita waandishi kibao na posho nene hadi wa BBC na TV za kenya lakini ooh Maskini Edoh,alishindwa Rais mstaafu ataweza Waziri mkuu aliyejiuzuru?
Edward Ngoyai Lowassa,amepata aibu ya kufungia Mwaka pamoja nguvu yote ilotumika kumuandalia mkutano jamaa kapata watu kiduchu kuliko hata mkutano wa AFP!!! Jamaa anatia huruma sana san!!!a n
Mi nampenda Lowassa kwa sura yake! Angekuwa si mtu wa siasa ningepigana hadi awe Bwanangu niuze sura naye na kula hela zake! Ila namchukia kwa roho mbaya yake na ufisadi, pia ubishi wa kuona yeye ni zaidi ya mwanaume yeyote hapa Tz, hadi akamtuma Sophia simba aseme kwamba hakuna Kishababi zaidi ya Lowassa! Nasikia Mama Regina ali mind sana kauli ya huyu dada wa mjini mjini!