Masikini Edward Lowassa

Masikini Edward Lowassa

Nipe tano

Senior Member
Joined
Jun 16, 2011
Posts
100
Reaction score
27
Edward Ngoyai Lowassa,amepata aibu ya kufungia Mwaka pamoja nguvu yote ilotumika kumuandalia mkutano jamaa kapata watu kiduchu kuliko hata mkutano wa AFP!!! Jamaa anatia huruma sana san!!!a n
 
Aibu ya kujitakia utu-Uzimani!
Mwenye nchi mwenyewe Ba-Mwanaasha kagwaya...Kaja jana Arusha kwa kuingia Usiku, na saa 5 LEO kajiondokea zake kimya kimya kurudi Dar!...Watchdogs wake weshampa Live kuwa asithubutu kukanyaga Arumeru, maana washanusa hali halisi!...Yeye anajifanya shababi...Poooof!
 
Roho ya lowasa inachinjwa, kifo kinamkabili, kama wanataka kauli waseme aseme nini?
 
huyu mzee sialisema amerudi na yupo fit kwa mapambano???...ANATIA HURUMA YA NINI TENA?....anyway yeye atakuwa hajasoma mambo ya nyakati maana uchaguzi wa arumeru sio wa wazee ni wa WAHUNI KAMA KINA LUSINDE.
 
Leiguanan kaita waandishi kibao na posho nene hadi wa BBC na TV za kenya lakini ooh Maskini Edoh,alishindwa Rais mstaafu ataweza Waziri mkuu aliyejiuzuru?
 
Mi nampenda Lowassa kwa sura yake! Angekuwa si mtu wa siasa ningepigana hadi awe Bwanangu niuze sura naye na kula hela zake! Ila namchukia kwa roho mbaya yake na ufisadi, pia ubishi wa kuona yeye ni zaidi ya mwanaume yeyote hapa Tz, hadi akamtuma Sophia simba aseme kwamba hakuna Kishababi zaidi ya Lowassa! Nasikia Mama Regina ali mind sana kauli ya huyu dada wa mjini mjini!
 
sentensi yako haijaisha Mkaka! Malizia basi!
 
Edward Ngoyai Lowassa,amepata aibu ya kufungia Mwaka pamoja nguvu yote ilotumika kumuandalia mkutano jamaa kapata watu kiduchu kuliko hata mkutano wa AFP!!! Jamaa anatia huruma sana san!!!a n

Attach.picha tafadhali tuone wengine tupo mbali.
 
muda bado Kampeni ni saa 10:00 jioni wacha watu wapange viti kwanza, ingawa si halali kumkampenia mkwe wake lakini kwa CCM watajaa tu
weka picha tuone hizo za saa hizi 1:39
 
Mi nampenda Lowassa kwa sura yake! Angekuwa si mtu wa siasa ningepigana hadi awe Bwanangu niuze sura naye na kula hela zake! Ila namchukia kwa roho mbaya yake na ufisadi, pia ubishi wa kuona yeye ni zaidi ya mwanaume yeyote hapa Tz, hadi akamtuma Sophia simba aseme kwamba hakuna Kishababi zaidi ya Lowassa! Nasikia Mama Regina ali mind sana kauli ya huyu dada wa mjini mjini!

Duh!! We wasira atakufaa zaidi kama suala ni kuuza sura tu,kwani itakuwa hata kwwenye uwanja wa seremala ukitaka game jamaa yeye anakoroma hapohapo ukimweka kwenye V!!!
 
Back
Top Bottom