Hata mi nilihisi wamekutana na kibonde,majamaa wamewekewa ukuta hamna kupita,Bayern wanatolewa sidhani kama watakuja kuwafunga Porto 4-0 kwenye marudiano
Wanatakiwa kushinda 2-0 tu.... na wanaweza
Hiyo ni mechi ya kwanza....kuna mechi ya pili
Hata mi nilihisi wamekutana na kibonde,majamaa wamewekewa ukuta hamna kupita,Bayern wanatolewa sidhani kama watakuja kuwafunga Porto 4-0 kwenye marudiano
Kumbuka Bayern wamecheza bila ya Bastian, Roben, Ribery, Alaba still Bayern anaweza kuwatoa Porto
porto wamenifanya niache kuangalia game ya barca.
Wakiwekewa ukuta hawaendi popote
mkuu tusubiri huwezi jua porto watajipangajeBado nina imani Bayern atapita...
mkuu tusubiri huwezi jua porto watajipangaje