Masikini Bayern Munchen

Masikini Bayern Munchen

leo ndio leo mm nipo porto kwa kuipa nafasi ya kwenda nusu fainali....
 
Naomba kuiamsha hii thread...

Hadi sasa Bayern yupo mbele goli 2
 
Kumzuia Bayern asikufunge unahitaji uwe na Inter Milan ya Mourinho.
 
Watu weweeeeeee....piga keleleeeeee...wakomeshe hao madogo
 
Hata mi nilihisi wamekutana na kibonde,majamaa wamewekewa ukuta hamna kupita,Bayern wanatolewa sidhani kama watakuja kuwafunga Porto 4-0 kwenye marudiano

Angalia jinc porto wanavyopotea ww
 
Back
Top Bottom