Wasalam wanajukwaa hili takatifu kwanza nawapa moyo wote wapendao mabadiliko ya kweli na uhuru wa kwele mmepiga hatua hivyo endeleeni na mapambano ushindi wa haki dhidi ya uovu,wizi,dhuluma na ufisadi uko karibu kwa sasa.
Ila kilio changu naulilia mji wangu huu ambao hata mzee mandela wakati anawasuluhisha wanyarwanda alitamani kuish hapa na hata wanyarwanda wenyewe walituomba tuwape viwanja wajenge hapa geneva ya africa madini tanzanite,utalii na biashara za kila aina dini zote na elimu ya juu bila kusahau sanaa yani kila kabila lilikua hapa na hakuna alotamani kuondoka lakin sasa ni siasa za uhasama tu