hijja madava usiwe mnafiki kwani arusha haijachukuliwa yote na wapinzani. kwanza sisi tunaongoza na isitoshe 2015 tunahakikisha tunalikomboa jimbo hilo kutoka mchepukoni..shaka ondoa tumejitathmini tumegundua wapi tuliteleza tunajipanga ...safari moja huanzisha nyingine na uchaguzi mmoja huanzisha mwingine. Hakuna kitu kama ushindi wa haki pale mnapoleta vurugu na kuwapiga wanachama wetu...mapambano yanaendelea nasi tunakomaa kuhakikisha tunamng'oa lema wenu kinara wa vurugu 2015 na mitaa na vitongoji tutavikomboa tu 2019
Mleta thread ni mpuuzi kwani sioni alichokiandika. Na ccm waendelee kujipa moyo kwamba arusha watairudisha mikononi mwao. Kama ccm ni wajanja, wakimbilie kule vijijini wakaendelee kuwadanganya wananchi, huku mjini hakuna chenu