Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
Endeleeni kujipa moyo! Huyu Chokoraa miwisho wake ni october 2015.
Pole sana ,hata CHOKORAA anahaki ya kugombea uongozi,anahaki ya kuchaguliwa kuwa kiongozi ili mradi ajue KUSOMA na KUANDIKA,pia CHOKORAA huyu ana haki ya kumpigia KURA kiongozi amtakaye.
Na mwisho unakiuka HAKI za msingi za katiba ya nchi ya kubagua watanzania sababu ya ITIKADI zao na MAISHA yao.ACHA ndugu yangu.
Na pole nyingi zikuendee kwako,kwa chama chako na familia yako.