Masikini anapenda sana ngono kuliko tajiri

ila neno ngono limekaa kivibaya vibaya. Sema kufanya mapenzi bhana.

Hivi mtu anayekuwa busy na kazi anakosa hata muda wa kuwaza sex na kupeana utamu huyo unamtambuaje kama tajiri?? Huyo bado ni mpambanaji.

Matajiri wanapenda kutiana, wanakodi boat wananunua hata wanawake 20 wanazini tu juu ya bahari huko hawana wasiwasi kabisa. Yaani matajiri mwanamke mmoja hatoshi wanataka 10+
Ngono ndio starehe pekee kwa mwanaume, tena ukiwa na pesa, ngono hufanyika mara dufu
 
ila neno ngono limekaa kivibaya vibaya. Sema kufanya mapenzi bhana.

Hivi mtu anayekuwa busy na kazi anakosa hata muda wa kuwaza sex na kupeana utamu huyo unamtambuaje kama tajiri?? Huyo bado ni mpambanaji.

Matajiri wanapenda kutiana, wanakodi boat wananunua hata wanawake 20 wanazini tu juu ya bahari huko hawana wasiwasi kabisa. Yaani matajiri mwanamke mmoja hatoshi wanataka 10+
Naunga mkono hoja. Matajiri ndio wazinzi wa kiwango cha juu kabisa sema mazingira wanayofanyia mambo yao sio rahisi kila mtu kuingia, viwanja anavyoingia Rostam aziz unafikiri mapaparazi wa mange kimambi watafikaje, masikini wanabebeshwa tu lawama kwa sababu habari zao zinapatikana kirahisi sana, hivi mtu kama Yusuph Bakhresa mbona yule kwa kumuangalia tu anaonekana kiwembe.
 
Matajiri Wanaamini Masikini Ni Mtu Mwenye Muda Mwingi Amekaa Na Kubweteka Hivyo Basi Kupelekea Kuwa Mvivu.

Ila Ukweli Ni Kwamba Hao Watu (Masikini) Wanaongoza Kwa Upambanaji Haswa Tena Anaweza Kuwa Mtu Ambaye Apumziki Kabisa Ila Kipato Hapatacho Hakikidhi Mahitaji Na Hapo Ndio Inaingia Ile Theory Ya "Poverty Circle" Inaelezea Namna Jamii Zenye Hali Duni (Umasikini) Zinavyombana Na Umasikini.

Ukisema Masikini Anapata Muda Mwingi Hivyo Kupelekea Kuwaza Ngono Muda Wote, Swali Huo Muda Anaupata Wapi Maana Wengi Wanapambana Kujikwamua Kutoka Kwenye Umasikini.

Mimi Naweza Kusema Sex Inaweza Kuwa Ndio Starehe Apatayo Binadamu Bila Kujali Ni Tajiri Au Masikini.
Ni kweli kabisa mkuu. Mo kila siku yupo abroad anakula bata ila pale melt mhasibu mwenye degree analipwa laki 3 kwa mwezi kuingia kazini saa 2 asubuhi kutoka saa 12 jioni mapumziko ya lunch ni saa 7 mpaka saa 8. Ila cresit za uchapa kazi zinaenda kwa Mo
 
Back
Top Bottom