TUTUO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,253
- 2,023
Waswahili bwana sasa kina kuuma nini hadi uje ufungue na uzi halafu mtu mwenyewe unamuogopa kumtaja
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mswahili sana Aiseee punguza kidogoMmmh yan Toka Kaka yetu ashinde biko nasikia siku hzi Ana mashauzi, anajikuta sultan, ata kuongea siku hizi kabadilisha, mxieew yan mashauzi yote Kisa pesa za mwanamke, kweli umechelewa kuingia mjini, siku hizi mda wa kurekod single tena huna.
Kwanza nasikia ni anaburuzwa na hyo mkeii, hizo picha anazopost insta kujifanya anakula bata kuturusha roho , nyuma ya pazia anapelekeshwa kama mbwa.
Apo alipo kapewa masharti kibao na huyo dada , yani huyo dada hatakag ujinga, yan bata anakula Ila cha moto Anakiona mwenzenu msimuone hivyo , moyo unawaka moto.
Kwanza bibie anasifika kubadilisha wanaume kila Mwaka , hawezag kukaa na mwanaume mmoja kwa mda mrefu, yan Ana allergy , Sasa kaka yetu ajishaue akijua kafika mwache yamkute na yakumkuta.
Yani mtu umebarikiwa kipaji kizuri sauti unayo, unaamua uache mziki ukadange, mxieew , na nasikia Yule boyfriend wako tena humtaki, na simu zake hupokei, mji mzito huu jaman khaa, kweli pata pesa tujue tabia yako
Girlfriend , mtoto na boyfriend wote umewatelekeza kisa mkeii Ana pesa , mwanakuyatafuta mwanakuyapata, wambea tupo hapa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ila pesa za kudanga tamu zaidi
Sent from my iPhone using JamiiForums
ukweli mchunguMzungu umefuata nn kwenye mambo ya waswahili
Sent from my iPhone using JamiiForums
Uyo mkeii wakati akiwa mnene wanaume walikuwaga wanamchezea full kumdanganya sasa alivyojipunguza ndo akawa nae anawachezea wanaume lakin kwa Bernard ndo kafa kaoza bado kumzikaa tuuMmmh yan Toka Kaka yetu ashinde biko nasikia siku hzi Ana mashauzi, anajikuta sultan, ata kuongea siku hizi kabadilisha, mxieew yan mashauzi yote Kisa pesa za mwanamke, kweli umechelewa kuingia mjini, siku hizi mda wa kurekod single tena huna.
Kwanza nasikia ni anaburuzwa na hyo mkeii, hizo picha anazopost insta kujifanya anakula bata kuturusha roho , nyuma ya pazia anapelekeshwa kama mbwa.
Apo alipo kapewa masharti kibao na huyo dada , yani huyo dada hatakag ujinga, yan bata anakula Ila cha moto Anakiona mwenzenu msimuone hivyo , moyo unawaka moto.
Kwanza bibie anasifika kubadilisha wanaume kila Mwaka , hawezag kukaa na mwanaume mmoja kwa mda mrefu, yan Ana allergy , Sasa kaka yetu ajishaue akijua kafika mwache yamkute na yakumkuta.
Yani mtu umebarikiwa kipaji kizuri sauti unayo, unaamua uache mziki ukadange, mxieew , na nasikia Yule boyfriend wako tena humtaki, na simu zake hupokei, mji mzito huu jaman khaa, kweli pata pesa tujue tabia yako
Girlfriend , mtoto na boyfriend wote umewatelekeza kisa mkeii Ana pesa , mwanakuyatafuta mwanakuyapata, wambea tupo hapa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Dah.!Sasa ushasikia mi Ndo warumi , mbea niliyetukuka, usiniaribie CV , umbea sijaanza Jana Mimi , na wambea huwa hatudanganyi hata kidogo , kama ya Mjini kaa kimya tukujuze, naona mjini umekuja juzi na Gari la nyanya
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mwambie huyoNenda majukwaa ya wazungu tuache na mswahili mwenzetu